Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini CCM wakawa professional, hata nchi yetu wanatawala nchi ki ujanja ujanja.Kinachoonekana ni kwamba alithibitisha kushiriki, so kutotokea bila taarifa ni unprofessional kabisa kwa mtu kama yeye. Kikweli wenzetu wamejawa nandharau sana.
Tafsiri ya haraka, Ok, hata nisipokwenda watanifanya nini?
Si mtu bali ni Chama tawala chaingia mitini kishiriki mdahalo.Aliyeingia mitini ni mmoja tu
Kwani ma KM wa vyama vingine hawawezi kufanya mdahalo bila Dr Nchimbi wa CCM?Muandaaji wa mdahalo ulioshindikana jana usiku ukihusisha Makatibu wakuu wa vyama vya siasa Chief Odemba wa STARTV Chief Odemba aliangua kilio cha uchungu hadharani baada ya jambo hilo kushindwa kufanyika kwa sababu ya Katibu Mkuu wa CCM kuingia mitini na kushindwa hata kumtuma senior officer yeyote kumuwakilisha wakati alishathibitisha kushiriki.
Kitendo cha kutoa machozi hadharani Odemba kimewashtua wengi na kujiuliza sababu hasa ni nini?
Watafiti wamebaini kuwa jana KM wa CCM Nchimbi amefedheheka, CCM imepata aibu kubwa kwamba haiwezi siasa za hoja na imani ya watu kwa CCM na mwenyekiti wao imepotea na kudondoka kwa kiwango kikubwa sana siku ya jana.
Sasa CCM kwa hulka yao Barbaric chuki yao ni kwa Odemba na lolote waweza mfanyia ikiwemo kumpoteza kama kina Azory au Soka na hilo lilipita kwenye mawazo ya Odemba na kujikuta na maumivu moyoni.
Odemba pole, hata wakikufanyia hayo lakini nao hawataishi milele!
mtu mzima analia kama mtoto mdogoOdemba anakidhi hivi vigezo vyote.
Hakuna tatizomtu mzima analia kama mtoto mdogo
Umeona sasa majibu ya CCM...Kwani Dkt Nchimbi alithibitisha kushiriki?
CCM wapo katika mkutano wa Kamati Kuu Maalum, na wana Maandalizi ya Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa.
Hakuna mdahalo wa Nchimbi kukimbia hapo.
Mkuu mbona unahemka au unakula ndumu?relax gentleman, mihemko haibadili Ukweli kwamba katibu mkuu hana na kamwe hawezi kua na muda wala wasaa wa kufanya majadiliano au mdahalo na hao watoto vijana wasio na mbele wala nyuma...
kwanza ni vizuri ukatambua katibu mkuu wa CCM ni daktari, na kwahivyo yafaa ajadiliane na madaktari wenzake, kujadiliana na hao vijana ni kuwaonea na actually ni unyanyasaji kwa vijana pia...
kubwa zaidi, hao vijana wa kusukumwa sukumwa hawana kazi na majukumu ya maana kwenye vyama vyao ndio maana hata wana muda wa kupoteza kwenye mambo yasiyo na tija...
Ratiba, majukumu mazito na kazi za katibu mkuu wa CCM, haziwezi kumpatia hata dk20 nje ya ofisi. Majukumu mazito ya maana ya kitaifa na kimataifa yamemzonga sana,
na hayo yote ni kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒