Pre GE2025 Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

Pre GE2025 Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mdahalo ulikuwa mzuri na nimefurahi kusikiliza sera zao wote wawili.
Ni utaratibu mzuri unaofaa kuendelezwa.
 
Nimeangalia na nikagundua ukiweka ushabiki pembeni; Lissu ni mweupe kwa Odero
Tatizo lissu ana mambo mengi ya kujibu kutokana na mchafuko uliokuwepo, hivyo maswali mengi yaliyoulizwa ilitakiwa ajibu ili kuondoa utata na sio kuelezea sera zake.

Odero hakuwa hivyo, alielezea sera zaidi kwa sababu hakuna uchafuzi wowote dhidi yake ambao alioaswa kuusafisha.
 
Back
Top Bottom