Pre GE2025 Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

Pre GE2025 Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tunaweza kutengeneza mpango, tukawasaidia ACT kushinda Zanzibar, na wao ACT watusaidie kushinda huku Bara - Tundu Lissu
 
Lissu the genius, once again. Huwezi kusamehe wakati hujaona kosa.
 
Odemba: Maandamano ya Chadema yamekosa kuungwa mkono, hii inaleta picha gani?

Lissu: Wanachama wamekosa imani kwasababu ya viongozi kuwa nandimi mbili.

Huwezi kuwambia watu waje kuandamana wakati kesho yake upo umepiga picha na mama.

Hapo ukiitisha maandamano kesho utatokea wewe na binti yako
 
Niliwashauri wanachama wenzangu kuhusu maandamano kwenye makundi ya wanachama.

"Tukifanya maandamanao bila mikakati yatakuwa ni matembezi ya amani"

Odero akitoa maoni kuhusu maandamano yaliyoshindikana.
 
Odemba: Kumekuwepo na mnyukano baina yako na Freeman, utaishi vipi na Mbowe baada ya uchaguzi wenu mkuu kuisha?

Lissu: Baada ya Uchaguzi, mimi nitakuwa Mwenyekiti na Mbowe atakuwa mstaafu hivyo nitamlindia heshima yake ana miaka 64, ameongoza chama kwa miaka 21, hivyo atakuwa na busara
 
Odero: Kesho kuna kikao cha mchujo
 
Back
Top Bottom