Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtumishi,Ndio uwekwe mdahalo tuone kitakavyowaka, hiyo miradi ni ya the late 😹😹
Kutakuwa na mdahalo wa wagombea uenyekiti wa Chadema leo kuanzia saa 3:30 usiku pale Star Tv.
wagombea wanaotarajia kuwepo kwenye mdahalo huo ni pamoja na jabali wa siasa, Tundu Lissu pamoja na Odero Odero.
Freeman Mbowe hatahudhuria mdahalo huo kwasababu ambazo zipo nje ya uwezo wake.
Msimamizi wa mdahalo huo atakuwa Chief Odemba mtaalam wa mahojiano.
View: https://www.youtube.com/watch?v=FfS5cmy-nSk
Live updates zitakujia hapaView attachment 3204664
Mbona mnaogopa midahalo km mbowe? Nini shida jentroman? 😹😹😹mtumishi,
hukuna miradi ya mtu binafsi inayotekelezwa chini ya serikali sikivu ya CCM.
Kinachotekelezea ni ilani ya Uchaguzi ya CCM.
CCM hufanya midahalo moja kwa moja na wanainchi kuanzia ngazi ya shina kwa maneno na vitendo.
Na sio kulumbana kama hao wapiga makelele, porojo na mdomo 🐒
🤣🤣🤣🤣🙌Odero: Ondoa neno ombaomba weka neno finacial mobilizer😂
Ameona Mbowe anayedai kila kitu kizuri cha Chadema amekitengeneza yeye, ameamua kuyakaimu maneno ya Mbowe😀Kinacho furahisha kwenye huu mdahalo sio tu nyinyi audience ambao hamumjui Odero.
Hata Lissu leo akihojiwa na Azam alisema hajawahi kuonana naye.
Lakini Odero alihojiwa akisema alimtengeneza Lissu yani ni matunda yake.
Odero ana vinasaba vya ukenya. Kila kilicho kizuri anasema chakwake au ameki influence yeye.
Sasa ilikuwaje slaaa akaondoka wakati yeye ndie alimleta lowasaMimi na Mnyika tulikuwa watu wa mwisho kuambiwa kuhusu Lowasa. Tulipohoji tuliambiwa wajumbe wengine wote walishakubali.
Dr.Slaa ndiye aliyeanzisha mawazo ya kumleta Lowasa, ndiye aliyenipigia simu. Gwajima ndiye aliyekuwa mshenga wa Lowasa.
Aulizwe SlaaSasa ilikuwaje slaaa akaondoka wakati yeye ndie alimleta lowasa