Pre GE2025 Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

Pre GE2025 Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
“ Kuna watu wa chama chetu wamekamatwa wanatoa rushwa CHOONI!" Lissu
 
Lissu ana hoja nzito sana.

Yaani zoezi la uchaguzi wa BAWACHA lenye wastani wa wajumbe 400 tu, limechukua siku mbili!!
Huenda hii ni chadema mbovu zaidi kwenye Chaguzi kuwahi kutokea tangu kuwepo kwake.
 
Odemba: Odero ikiwa usingegombea unadhani kura yako ingeenda kwa nani?

Odero: Na bahati nzuri Odero nagombea kwa hiyo kura ya kwanza ni kwa Odero ya pili ingeenda kwa Odero na yatatu ingeenda kwa Odero.
 
Odemba: Usingegombea, Kura yako kwenye Uchaguzi ungempa nani?

Odero: Kura ya kwanza ni kwa Odero

Kura ya pili ni kwa Odero

Kura ya tatu ni kwa Odero
 
Nilijua kwamba Mbowe sio mwaminifu baada ya kutoka gerezani. Tulipoanza kuhoji ikawa ugomvi..Lissu
 
Mwambie mama tunataka naye afanye mdahalo na kina February 😹😹
kukamilisha Mwalimu Nyerere Dam and Hydropower Plant na SGR, treni ya mwendokasi ni mdahalo tosha mtumishi,

Dr Samia Suluhu Hassan anapiga kazi ili kuhakikisha, kila mTanzania anaonja na kuifurahia keki ya Taifa.🐒
 
Back
Top Bottom