Pre GE2025 Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

Pre GE2025 Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
So far huu mdahalo sioni kama utatoa kiu ya kile tulichokitarajia.
Huyo Odera ni mwepesi mno. Hafai kupimwa mzani mmoja na Mh Lissu.
Lissu wampe tu kura awe Mwenyekiti, tukampime huko. Kwa sasa hana mpinzani.
Sahihi mkuu
 
😹😹😹 Odero kasema anaenda kushinda uchaguzi huu bila rushwa
 
Back
Top Bottom