Pre GE2025 Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

Pre GE2025 Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mimi na Mnyika tulikuwa watu wa mwisho kuambiwa kuhusu Lowasa. Tulipohoji tuliambiwa wajumbe wengine wote walishakubali.
Dr.Slaa ndiye aliyeanzisha mawazo ya kumleta Lowasa, ndiye aliyenipigia simu. Gwajima ndiye aliyekuwa mshenga wa Lowasa.
 
kukamilisha Mwalimu Nyerere Dam and Hydropower Plant na SGR, treni ya mwendokasi ni mdahalo tosha mtumishi,

Dr Samia Suluhu Hassan anapiga kazi ili kuhakikisha, kila mTanzania anaonja na kuifurahia keki ya Taifa.🐒
Ndio uwekwe mdahalo tuone kitakavyowaka, hiyo miradi ni ya the late 😹😹
 
Askofu Gwajima ndio alikuwa mshenga wa kumleta Lowassa Chadema - Tundu Lissu
 
Anakuambia viongozi wenye ndimi mbili, wanatema moto kushoto kulia wanatema barafu... alooo Lissu ni mtata
 
Dr. Slaa awaeleze Watanzania ilikuwaje aitishe kikao cha kamati kuu ya Chadema ili kumleta Lowassa - Lissu
 
Tundu Lissu : Ngoja nijibu swali kuhusu kuitwa ombaomba, imetengenezwa dhana kuwa hiki chama kinaendeshwa kwa mabilioni ya Mbowe, hii sio kweli.
 
Odemba: Odero ikiwa usingegombea unadhani kura yako ingeenda kwa nani?

Odero: Na bahati nzuri Odero nagombea kwa hiyo kura ya kwanza ni kwa Odero ya pili ingeenda kwa Odero na yatatu ingeenda kwa Odero.
Hahahahaha.... huyu mwamba naye ni ubaya ubwela
 
Tundu Lissu: Mimi nimechangia pesa, muda na uhai kwa Chadema
 
Hahaa huyu Lisu ni mwanasheria kweli maana ana namna flani ya kujibu maswali ....🤣🙌
 
Huu mdahalo mtamu sana. Huu usiku unaenda kuwa swaaafi kabisa kwa udhamini wa Lissu na Odero. Watu mpaka wanapiga makofi sio poa 😂
 
Back
Top Bottom