Pre GE2025 Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

Pre GE2025 Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona mnaogopa midahalo km mbowe? Nini shida jentroman? 😹😹😹

Hayo ya ilani ya chama wananchi tusiokuwa na vyama haituhusu, aje kwenye mdahalo tuwasikize wote..!!
Yaani tuache kufanya kazi muhimu za wananchi au kupumzika nyumbani ili kugain ernegy, mtu aende kupiga makelele na mdomo na kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kweli?
hiyo itakua ni kuwakosea wananchi.

kua na chama au kutokua na chama cha siasa ni uhuru na haki ya mTanzania yeyote kuamua, bila kusumbuliwa na watu wa makelele na mdomo mtupu kama huyo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi 🐒
 
Nilipogomea maridhiano wakaanza kuniita mlopokaji - Lissu
 
CCM wamejazana kwenye server kufuatilia mdahalo wa chadema, badala ya mkutano wao wa Dodoma.
 
Back
Top Bottom