Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,191
- 677
mwaka huu mkuu anaweza kushiriki kwa sababu anajiamini sana na kwa kweli wananchi wengi wanamuamini kwa aliyoyafanya.
na kwa ukweli sioni sababu ya kuogopa kwa maana wapinzani tayari wameshafulia
Hahahahah akili zake akichanganya na zenu hatii timu kwenye mdahalo!
Umesema ukweli hapa utasikia :flypig: amapatwa na majukumu ya kioffice mara kaanguka hawezi kuja
mwaka huu mkuu anaweza kushiriki kwa sababu anajiamini sana na kwa kweli wananchi wengi wanamuamini kwa aliyoyafanya.
na kwa ukweli sioni sababu ya kuogopa kwa maana wapinzani tayari wameshafulia
Mtu wa Pwani, bila shaka utakuwa unatokea Wilaya ya bagamoyo! Masifa hayo kwa mkuu si bure.
Muache huyo usihangaike naye. Ila tutafute jinsi ya ku-reinforce kama inawezekana japo namuonea huruma sana.
Mbopo,Hivi kwa nchi kama yetu ambayo asilimia zaidi ya 80 wa wapiga kura hawane elimu ya uraia na uwezo wa kupambanua hoja mdahalo utasaidia nini? Chaguzi zetu sisi siyo issue based. Tutabaki sisi wa mijini na hasa wasomi kutoa verdict ambayo haitakuwa na bearing au athari zozote kwa matokeo ya mwisho ya uchaguzi. Halafu kwa ufahamu wangu finyu, mdahalo ni lazima uhusishe wagombea urais, hao Cheyo, Mbowe na Slaa tayari wametangaza au kuonyesha nia ya kutogombea urais, watashirikije kwenye mdahalo mnaoupendekeza?