Elections 2010 Mdahalo wa wagombea urais 2010

Elections 2010 Mdahalo wa wagombea urais 2010

Status
Not open for further replies.
mwaka huu mkuu anaweza kushiriki kwa sababu anajiamini sana na kwa kweli wananchi wengi wanamuamini kwa aliyoyafanya.

na kwa ukweli sioni sababu ya kuogopa kwa maana wapinzani tayari wameshafulia
 
Hahahahah akili zake akichanganya na zenu hatii timu kwenye mdahalo!
 
mwaka huu mkuu anaweza kushiriki kwa sababu anajiamini sana na kwa kweli wananchi wengi wanamuamini kwa aliyoyafanya.

na kwa ukweli sioni sababu ya kuogopa kwa maana wapinzani tayari wameshafulia

Kaka nitajie matatu tu kwa kipindi cha takribani miaka mitano ambayo kikwete ameyafanya na wewe ukayakubali kuwa sasa huyu jamaa kafanya.
Nawasilisha.
 
Consigliori, hapo bwana mimi sikujibu. Lakini haiwezekani wewe tia akili. Maana thread hii mimi niliileta hapa watu wakasema sana. Ngoja waseme wao tena.
 
mwaka huu mkuu anaweza kushiriki kwa sababu anajiamini sana na kwa kweli wananchi wengi wanamuamini kwa aliyoyafanya.

na kwa ukweli sioni sababu ya kuogopa kwa maana wapinzani tayari wameshafulia

Mtu wa Pwani, bila shaka utakuwa unatokea Wilaya ya bagamoyo! Masifa hayo kwa mkuu si bure.
 
Mtu wa Pwani, bila shaka utakuwa unatokea Wilaya ya bagamoyo! Masifa hayo kwa mkuu si bure.

Muache huyo usihangaike naye. Ila tutafute jinsi ya ku-reinforce kama inawezekana japo namuonea huruma sana.
 
hana uwezo wa kujibu maswali huyo, hawezi kujieleza, ataboronga, yeye mwenyewe anajifahamu. hatokeing'oooo
 
Heh heh atagombea tu na kushinda atashinda tu,watanzania bado hawajaelimika!!!!
 
Ha ha ha aaa nawaambieni akitia timu ataropoka kama siku ile na wale wazee vilaza pale Diamond jubilee hall.
 
Muache huyo usihangaike naye. Ila tutafute jinsi ya ku-reinforce kama inawezekana japo namuonea huruma sana.

Sipati picha, ukimweka mkuu na akina Prof. Lipumba, Mbowe/Dr Slaa,Mzee mapesa etc. Nadhani kigugumizi kitakuwa mara dufu. Mimi nadhani kama wanahabari waliopo humu JF wakianza kutoa mapema kwenye vyombo vya habari umuhimu wa mdahalo, watu wengi watakuwa na hamu ya kuona unafanyika hivyo CCM wataogopa kukacha tena.
 
mm nafikiri mdahalo ni mzuri kuliko staili wanayotumia ya kutoa ahadi hewa ambazo ata yesu arudi azitekelezeki ila kwenye kampeni zao wanawapambe wao wakushangilia na kupiga makofi uwezi kuhoji uwezi kukosoa maswali wanakuambia uandike kwenye karatasi usiulize mojakwamoja kwa mtaji huu tutafika lini.
wanatakiwa waeleze ahadi zao watazitekeleza vp kama ni kiuchumi na wachumi wafikirie waone kama ni sahihi au vp na aulizwe maswali live na ajibu live si porojo ila upande mwingine wanaweza kufanya hivyo ila wakapanga kila kitu kwa manufaa yao yani wakaandaa mdahalo na wakaandaa wauliza maswali kama walivyopanga na mkakubali kweli ccm aishindwi kitu
 
Hivi kwa nchi kama yetu ambayo asilimia zaidi ya 80 wa wapiga kura hawane elimu ya uraia na uwezo wa kupambanua hoja mdahalo utasaidia nini? Chaguzi zetu sisi siyo issue based. Tutabaki sisi wa mijini na hasa wasomi kutoa verdict ambayo haitakuwa na bearing au athari zozote kwa matokeo ya mwisho ya uchaguzi. Halafu kwa ufahamu wangu finyu, mdahalo ni lazima uhusishe wagombea urais, hao Cheyo, Mbowe na Slaa tayari wametangaza au kuonyesha nia ya kutogombea urais, watashirikije kwenye mdahalo mnaoupendekeza?
 
Kama Tume ya Uchaguzi ni mali ya CCM kuna sababu gani ya kufanya usanii wa ndhahalo kwenye Uchaguiz Mkuu wa 2010. Kwani ushindi wa kishindo wa asilimia 92 wa CCM kwenye uchaguzi wa serikali za Mitaa ulihitaji mdahalo. Si vyama ni hivyo hivyo na watu ni wale wale. Uchaguzi wa Tanzania ni Igizo la Serikali, CCM na Wafadhili.
Fikiria, Katiba za vyama vya Siasa hazipatikani sembuse wazo la ndahalo. Hatujui itikadi zao, ya nini ndahalo. Kwani chama tawala milele cha CCM kina itikadi gani. CCM ina sera gani. Kinawajibika kwa nani isipokuwa kwa wenyewe. Usanii wa Mdhahalo utatoka wapi ikiwa hatuna fikra sahihi na sheria ya vyama vya siasa kwa ajili ya ubunifu, maendeleo na maisha bora kwa jamii. Vyama vya siasa ni kwa ajili kutawala na siyo kuongoiza Watanzania kwenye dunia ya leo na kesho. Sioni mantiki ya mdhahalo kwa Watanzania; ni kupoteze muda. Bora tuwe na ndahalo wa mpira au wasanii bora burudani kwa kuwa Watanzania wamelazimishwa kuwa wasindikizaji wa CCM milele.
Ndhahalo uwepo kati ya wabunifu wa Ilani ya Wakatoliki, Mwogonzo wa Waislamu, Viongozi wa Vyama vya Wafayakazi na Waadishi mahiri, wasoni, vyombo vya habari na wazee na wananchi; siyo viongozi wa usanii wa siasa.
 
Hivi kwa nchi kama yetu ambayo asilimia zaidi ya 80 wa wapiga kura hawane elimu ya uraia na uwezo wa kupambanua hoja mdahalo utasaidia nini? Chaguzi zetu sisi siyo issue based. Tutabaki sisi wa mijini na hasa wasomi kutoa verdict ambayo haitakuwa na bearing au athari zozote kwa matokeo ya mwisho ya uchaguzi. Halafu kwa ufahamu wangu finyu, mdahalo ni lazima uhusishe wagombea urais, hao Cheyo, Mbowe na Slaa tayari wametangaza au kuonyesha nia ya kutogombea urais, watashirikije kwenye mdahalo mnaoupendekeza?
Mbopo,
Una maana ya kutuambia kuwa mwaka huu Mkwere hana mpinzani? Mbona vyama vya upinzani havijatangaza kuwa havitasimamisha mgombea?
 
Ha mtamfanya Mkulu aanze kuwaita wenzake "That one" kwenye huo mjadahalo!.:brick:
 
Kama kuna yeyote aliyewahi kuona kipindi cha Shaka Ssali wa VOA(Voice of America) mgeni wake akiwa ni JK kilichorushwa na Star Tv,Shaka Ssali kwa upeo wangu katika kipindi kile alimpima JK wetu kwa baadhi ya maswali,swali ambalo JK alilihangaika sana kulijibu ni lile ambalo aliulizwa "Umefanya nini mpaka sasa katika nchi yako ukiwa kama Rais wa Tanzania?" JK alijibu alilofanya ni kujenga shule za mtaa na akataja na muda wa kutimiza hayo,kwa uso wa Shaka Ssali ulionesha kwamba alipata something "wrong" toka kwa JK. Nilishangaa!!
 
Mimi naungana na consigliori kama kuna wanahabari ebu anzeni kupepesa pepesa, na mwaka huu msikubari rushwa si unaona alivyowaponda juzi tu hapa mkakaa kimya. wakipata hawawakumbuki waandishi wa habari hivyo muwe wajanja na nyie
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom