Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi nchi bana!...amesema rais hatafanya hivyo kwa kuwa saa 1 haitoshi kuelezea sera za CCM
okl lkn pia dk slaa ataulizwa simple question
nini uhusiano wake na kanisa katoliki?
okl lkn pia dk slaa ataulizwa simple question
nini uhusiano wake na kanisa katoliki?
Mbona hiyo ya kiislamu imeshindwa kufanya kazi na kuikimbia mdahalo? au kushughulikia ufisadi? Acha udini kwani haufai.phd ya kanisa?
Nafikir ipo haja mdahalo uwekwe kwenye sheria za nchi.
okl lkn pia dk slaa ataulizwa simple question
nini uhusiano wake na kanisa katoliki?
Swali zuri Phd.Na wewe tutakuuliza ukahaba wako wa kushabikia mambo ya kidini utaacha lini?
Kipindi hiki cha kampeni Mdahalo nchini Australia umekuwa sawa na kichekesho kwa waziri mkuu kajikoroga. Imegeuka kwa waziri mkuu anataka mdahalo urudiwe upinzani wamechomoa. Sasa kama JK anaukimbia mdahalo babake basi hiyo nchi kashamba ka bibi kila mtu anafanya atakalo.Nafikir ipo haja mdahalo uwekwe kwenye sheria za nchi.