Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
phd ya kanisa?
Si umwambie mwenyekiti wa chama chako asimame kwenye mdahalo tupime phd ya kanisa na phd ya kupewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
phd ya kanisa?
Kama ccm wamekataa mdahalo kuna haja CHADEMA ya kuandaa mdahalo na vyama vingine ambavyo vimesimamisha mgombea uraiskama TLP,CUF,DP,NCCR ili kwamba tuweze kutangaza sera zetu VYEMA DHIDI YA WAPINZANI WENGINE kwani hata wao wanatupinga ndio maana wanasimamisha wogombea.

Mchungaji Slaa kwanini asifanye mdahalo na mkewe atoke CCM na kuamia Chadema? kama kashindwa kum-convince mkewe atamuweza nani?
Huyu mchungaji yuko weak iweje mkewe mpaka leo kabaki CCM? inamaana hamuamini mumewe? Afanye mdahalo chumbani na mkewe kabla hajafanya na wananchi
Sasa hii ina uhusiano gani na mdahalo... haya ni mawazo yako kuhusu chama sisi tunajadili JK kukwepa mdahalo... get real!SERA YA CHADEMA NI ILEILE YA MPENDAZOE(UFISADI) HAWANA SERA MBADALA....NDO MAANA HATA MPENDAZOE ALIPOENDA HUKO HAWAKUONA JIPYA WAKAMWAGA......! maendeleo ya michezo, uchumi, miundombinu,elimu SI AJENDA ZA CHAMA HIKI......WANA AJENDA MOJA KUU KWA MIAKA MITANO......LABDA CHAMA KINGINE....NEEEEEEXT....!
Jamani, naombeni msaada kufikisha huu ujumbe kwa umma: No mdahalo no vote