Elections 2010 Mdahalo wa wagombea urais 2010

Status
Not open for further replies.
Kwakweli sual la mdahalo ni jambo zuri lakini nadhani kila chama kina mbinu zake katika kusaka ushindi...navyojua mimi midahalo mara nyingi hutumika kuonesha udhaifu wa mtu (hasa kiafrika zaidi.). nasema hivyo kwa kutazama midahalo kadhaa niliyojaribu kufatilia ya kusaka uongozi toka nilipokuwa sekondari hadi chuo na baadhi ya uongozi wa nchi ktk afrika na huko majuu. tofauti niliyoona ni kuwa majuu humchallenge alie madarakani au chama chake kuhusu sera flani ambazo majibu yake yapo kutokana na maandalizi ya mdahalo kwa wahusika kujiandaa na topic husika ila kwa Afrika nilichoona ni siasa za kuchafuana na kuexpose udhaifu wa mtu husika nahic hii ndio sababu CCM wamekwepa mdahalo huu kwani hofu ya kuchafuliwa ni kubwa kutokana na mwenendo wa nchi ulivyo na jinsi chama kilivyobehave ktk 5 years zilizopita. yawezekana pia ni kuwanyima nafasi upinzani kuwaua kwa mabomu yatayobadili uelekeo wa kampeni...so nachoona mimi ni kuwa hiyo ni Political move ya kuendelea na kampeni bila hofu ya kuchafuana kupitia mdahalo ambao unaweza kuamua nani awe rais...huu ni mtazamo tu wa kwnini wamekwepa ila sababu wanazo wenyewe nisingependa kuwajibia. ila nadhani hata bila ya mdahalo bado waTZ wana nafasi ya kujua sera za wagombea na kufanya chaguo sahihi oktoba.
 
Wadau,

Magazeti ya leo yamemnukuu mwenyekiti wa kamati ya kampeni ya CCM (A Kinana) akisisitiza msimamo wa chama chao kuwa mgombea wao hatashiriki mdaharo kwa kisingizio kuwa mda hautoshi.
Mimi ndahani mzee IQ yake ni ndogo, wasaidizi wake wanalijua hilo na wanaogopa wakimruhusu kushiriki udhaifu wake katika kutafakari mambo utakuwa wazi zaidi na hivyo kukosa nafasi ya kuwadanganya WADANGANYIKA, au kuna sababu nyingine ya msingi?????
mwana muziki wa taarabu hawezi kuimba muziki wa reggae, kikwete yake mipasho tu!!
 
Kwakweli sual la mdahalo ni jambo zuri lakini nadhani kila chama kina mbinu zake katika kusaka ushindi...navyojua mimi midahalo mara nyingi hutumika kuonesha udhaifu wa mtu (hasa kiafrika zaidi.). nasema hivyo kwa kutazama midahalo kadhaa niliyojaribu kufatilia ya kusaka uongozi toka nilipokuwa sekondari hadi chuo na baadhi ya uongozi wa nchi ktk afrika na huko majuu. tofauti niliyoona ni kuwa majuu humchallenge alie madarakani au chama chake kuhusu sera flani ambazo majibu yake yapo kutokana na maandalizi ya mdahalo kwa wahusika kujiandaa na topic husika ila kwa Afrika nilichoona ni siasa za kuchafuana na kuexpose udhaifu wa mtu husika nahic hii ndio sababu CCM wamekwepa mdahalo huu kwani hofu ya kuchafuliwa ni kubwa kutokana na mwenendo wa nchi ulivyo na jinsi chama kilivyobehave ktk 5 years zilizopita. yawezekana pia ni kuwanyima nafasi upinzani kuwaua kwa mabomu yatayobadili uelekeo wa kampeni...so nachoona mimi ni kuwa hiyo ni Political move ya kuendelea na kampeni bila hofu ya kuchafuana kupitia mdahalo ambao unaweza kuamua nani awe rais...huu ni mtazamo tu wa kwnini wamekwepa ila sababu wanazo wenyewe nisingependa kuwajibia. ila nadhani hata bila ya mdahalo bado waTZ wana nafasi ya kujua sera za wagombea na kufanya chaguo sahihi oktoba.

Utamchafuaje asiyechafuka?
Utamsafishaje asiye safishika?

Mh. Kikwete na CCM wamekimbia mdahalo ili kuficha uchafu uliopo. Na hili linasema mengi kwa Taifa letu!!
 
Kwakweli sual la mdahalo ni jambo zuri lakini nadhani kila chama kina mbinu zake katika kusaka ushindi...navyojua mimi midahalo mara nyingi hutumika kuonesha udhaifu wa mtu (hasa kiafrika zaidi.). nasema hivyo kwa kutazama midahalo kadhaa niliyojaribu kufatilia ya kusaka uongozi toka nilipokuwa sekondari hadi chuo na baadhi ya uongozi wa nchi ktk afrika na huko majuu. tofauti niliyoona ni kuwa majuu humchallenge alie madarakani au chama chake kuhusu sera flani ambazo majibu yake yapo kutokana na maandalizi ya mdahalo kwa wahusika kujiandaa na topic husika ila kwa Afrika nilichoona ni siasa za kuchafuana na kuexpose udhaifu wa mtu husika nahic hii ndio sababu CCM wamekwepa mdahalo huu kwani hofu ya kuchafuliwa ni kubwa kutokana na mwenendo wa nchi ulivyo na jinsi chama kilivyobehave ktk 5 years zilizopita. yawezekana pia ni kuwanyima nafasi upinzani kuwaua kwa mabomu yatayobadili uelekeo wa kampeni...so nachoona mimi ni kuwa hiyo ni Political move ya kuendelea na kampeni bila hofu ya kuchafuana kupitia mdahalo ambao unaweza kuamua nani awe rais...huu ni mtazamo tu wa kwnini wamekwepa ila sababu wanazo wenyewe nisingependa kuwajibia. ila nadhani hata bila ya mdahalo bado waTZ wana nafasi ya kujua sera za wagombea na kufanya chaguo sahihi oktoba.

Rubbish!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mi bado nasisitiza kuwa kama wapo wanaoweza kuandaa mdahalo, waandae hata kama sio wagombea wote watashiriki. Lakini naamini kukataa inaweza pia kuwa mtaji kwa mpinzani wako, kwani kila anapoenda anaweza kuwaambai watu kuwa fulani alikimbia mdahalo, na hili linaweza kukuchafua vilevile...
 
Mdahalo hawezi kushiriki maana anaweza kuja na data feki na kina Dr Slaa na Lipumba watakuja na data safi. Kwa vyovyote vile watamwangusha ndio maana CCM wanakwepa mdahalo.
 
"Ndugu Wananchi, bado wengi tuna maswali juuya utendaji wa Raisi wetu anayemaliza muda wa miaka 5, ni wazi tumekuwa na shaka na ni yeye wakutuondoa shaka hili iwapo atahidhuria mdahalo. Tutapata nafasi yakujua alifanya nini na kipi hakufanya na kwa sababu gani. Nchi zenye Demokrasia ya kweli hufanya na sisi hatuna sababu yakutofanya.Tulihimize hili litendeke" Dr. Willibrord Slaa

Source: Dr. Slaa' s Facebook page

TUMSISITIZE JK AHUDHURIE MDAHALO TUTAPATA NAFASI YAKUJUA UTENDAJI WAKE | Facebook
 
Labda kama utamtayarishia maswali ili wakina January wamtayarishie hotuba. Vinginevyo sahau hilo.
Maana JK kafikia mahali pa kuzungumza na wageni wa kitaifa akiwa anasoma kutoka katika karatasi.
Mungu ibariki Tanzania.
 
Ndugu mleta mada, hilo jina lako huwa unalitamkaje? Ni kutaka kuelimishwa tu, sina nia mbaya.
 
hapo ndipo huwa nachefuka na kuzima TV
 
Ndugu mleta mada, hilo jina lako huwa unalitamkaje? Ni kutaka kuelimishwa tu, sina nia mbaya.

linatamkwa ZUMA unless hukusoma novel inaitwa Mine Boy. Aaah! Utakuwa ulisoma shule za kata
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom