Sio lazima wote washiriki mwana CCM sijui kama atashiriki hii Kwakuwa sio utamaduni waoUnatangaza Mdahalo wakati hujaconfirm washiriki wote kushiriki? Husije kulia tena Bwana Odemba……!!
Mbowe atakuwa ni mpuuzi kushiriki mdahalo ambao atakuwa anashambuliwa Mwanzo mwishoKumekucha ila ngoja tuone Miamba hii miwili ya CHADEMA itakavyomenyana mbele ya Wananchi,
Tuendelee kumwomba Mungu ili sote tufike salama 2025.View attachment 3186218
Merry Xmas and Happy New year 2025.
Mbowe atakuwa mpumbavu akisikiliza ushauri wa mapumbavu ya ccm eti asishiriki mdahalo wakati yalimfungulia kesi fake ya ugaidi.Mbowe atakuwa ni mpuuzi kushiriki mdahalo ambao atakuwa anashambuliwa Mwanzo mwisho
Kwanini ashambuliwe?Mbowe atakuwa ni mpuuzi kushiriki mdahalo ambao atakuwa anashambuliwa Mwanzo mwisho
Waulize vibaraka wa Mabeberu Kwa nini wanamshambuliaKwanini ashambuliwe?
Kumekucha ila ngoja tuone Miamba hii miwili ya CHADEMA itakavyomenyana mbele ya Wananchi,
Tuendelee kumwomba Mungu ili sote tufike salama 2025.View attachment 3186218
Merry Xmas and Happy New year 2025.
Hakuna sheria hiyo, buana. Kama hupendi, basi jukumu lako kama raia mwema ni kwenda kumwajibisha utakavyo kwenye sanduku la kura.Wakimaliza mdahalo CDM, tunataka pia mdahalo wa wagombea wa CCM.
Tukimaliza mdahalo wa CCM tunataka mdahalo wa wagombea Urais live.