SPONSA
Senior Member
- Oct 30, 2018
- 188
- 281
Naomba kuwasilisha maulizo yangu kwa wadau kuhusu sisi maafisa wasaidizi wa hesabu (assistant account officer), ambao tuliomba nafasi za kazi MDAs na LGAs ni lini tutaitwa kufanya interview
kiuhalisia tumekata tamaaa wengi wetu tukifikiria kwamba tumetengwa maana kila kada karibia zote washafanya interview kwa kila level lakini sisi hatujaitwa na hatuoni dalili za kuitwa kwenye usahili
kwa mwenye kujua kuhusu hili swala kiundani tunaomba atupe maelekezo kuhusu hatma yetu afisa wasaidizi wa hesabu. Nawasilisha kwenu wadau mwenye lolote atujuze ahsante.