Yani ni kwamba hatujaitwa kufanya interview mpka sasaivi na karibu kada zote tayari zishafanya interview kwa level zote mpaka za wasaidizi kasoro sisi afisa hesabu wasaidiziIngia kwanza Ajira portal Angalia Kama uko selected.
Ukikuta upon selected NI PM
Usijali hata sisi kada za Wizara ya Maliasili hatujaitwa bado, tutaitwa tuu, tuendelee kujiandaaYani ni kwamba hatujaitwa kufanya interview mpka sasaivi na karibu kada zote tayari zishafanya interview kwa level zote mpaka za wasaidizi kasoro sisi afisa hesabu wasaidizi
Tulia.Kama unalo unalolijua kuhusu hili tuambie hili ndilo jibu sahihi utakaloweza kutusaidia ukinambia tulizana naona kama haujanielewa nilichouliza mkuu
zipo na nyingine afisa biashara nayo bado interview haijafanyikaNaomba kuwasilisha maulizo yangu kwa wadau kuhusu sisi maafisa wasaidizi wa hesabu (assistant account officer), ambao tuliomba nafasi za kazi MDAs na LGAs ni lini tutaitwa kufanya interview kiuhalisia tumekata tamaaa wengi wetu tukifilia kwamba tumetengwa maana kila kada karibia zote washafanya interview kwa kila level lakini sisi hatujaitwa na hatuoni dalili za kuitwa kwenye usahili, kwa mwenye kujua kuhusu hili swala kiundani tunaomba atupe maelekezo kuhusu hatma yetu afisa wasaidizi wa hesabu. Nawasilisha kwenu wadau mwenye lolote atujuze ahsante.
Kuwa mvumilivu maana wanaenda kwa awam. Kwasababu watu wa records wamefanya hivi karibuni nanyie mtaitwa🫡Naomba kuwasilisha maulizo yangu kwa wadau kuhusu sisi maafisa wasaidizi wa hesabu (assistant account officer), ambao tuliomba nafasi za kazi MDAs na LGAs ni lini tutaitwa kufanya interview
kiuhalisia tumekata tamaaa wengi wetu tukifikiria kwamba tumetengwa maana kila kada karibia zote washafanya interview kwa kila level lakini sisi hatujaitwa na hatuoni dalili za kuitwa kwenye usahili
kwa mwenye kujua kuhusu hili swala kiundani tunaomba atupe maelekezo kuhusu hatma yetu afisa wasaidizi wa hesabu. Nawasilisha kwenu wadau mwenye lolote atujuze ahsante.
Hata afisa ushirika, kua mpole tuHapa sasa ndio nimetuliza nafsi nikajua sisi tupo wenyewe aisee