Unataka useme kuwa elf 28 kwa mwezi Azam haiwatoshi ?Mfano, unajua gharama za mechi moja?
Haya tuje na hy thamani ya buku saba yako.
Niwe makini kwenye ishu gnUnabidi uwe makini
Uwe makini kusema elf 7 yangu tu ndio ilipie gharama za Azam kulipia mpira wakati nchi ina watu zaid ya millioni 60Niwe makini kwenye ishu gn
Wana mpaka elfu 11Mda mrefu sana natumia Azam inabidi nitafute na Dstv nibadili uelekeo
Vip? Dstv wana hii kulipa kidogo kidogo kama Azam
Kweli , waboreshe kidogo ili tupate na channel za mpiraDuuh na Mimi kifurushi changu Cha Azam kina expire tarehe24/25 juni na kikiisha Sina cash yote elfu28 mwezi huu umenikutia vibaya... So kombe la Dunia hii baadhi mechi nitazikosa uko mbeleni hasa zile mechi kubwa kubwa za muhimu kuangalia alafu zipo saa7 au saa9 na saa10 za Usiku maana ht vibanda umiza hawaoneshi...
Lakini uongoz Azam tv wangekuja ht na kifurushi Cha wiki Cha elfu10 km mdau mmoja alivyoproprose hapo chenye package ya channel za Mpira za Azam sports ht 2 au3 ingekaa poa zaidi kuliko nisilipie kbs au nilipie kifurushi kdgo Cha sinema zetu Cha elfu12 still na wao watapungukiwa kdgo mapato Azam, tunajua kweli tv rights za Mpira ni ghali sn
Kwamba watu 60m wanatumia Azam?Uwe makini kusema elf 7 yangu tu ndio ilipie gharama za Azam kulipia mpira wakati nchi ina watu zaid ya millioni 60
Na inakuaje? Watu million 60 wakalipia elf 7 kwa mweziβ¦
Au umeiona elf 7 ni ndogo kwa upande gani? Mkuu
PoaTatzo lako unakosa tu umakini, ukiwa makini utaelewa
Unapiga mahesabu azam tv natumia peke yangu
PoaUsibishe azam tv situmii peke yangu usipige hesabu elf 7 x moja Mkuu
Wawapigie Azam wawape majibu
Hii inatofauti kidogo.Ndio yale yale ya chips ni 2000, ila ukiomba za buku akupimie nusu ya zile za 2000, bado hupewi.
Ila kuna watu natural ni wakorofi humu πππππZBC 2 ni channel ya dini na inalipiwa ndio iwe ya mpira, yaani channel ya Allah subhuhannah wanatoza hela ndio iwe channel ya mikeka
Aisee sio kukosa choteHii inatofauti kidogo.
Sababu chips za 1000 ukiagiza Mara 2 unatumia vifungashio au sahani mara mbili mbili hiyo gharama.
Vivyo hivyo kupasha au kukaanga Mara mbilmbili unatumia nishati nyingi na mafuta mengi zaidi, jumlisha na muda.
Hali ipo tofauti na huduma ya vifurushi vya TV hakuna gharama wanazo ingia broadcaster mara mbilmbili. Labda service charge ya miamala ya malipo.
Lazima wapime, mtu akishindwa 28 ya pamoja anakaa miezi hajanunua kifurushi chochote hasara kwao, akinunua Cha 7000 Mara 4 wanapata kitu hata kama faida itapungua kidogo.
Bora nini hapo?
Kidogo au ukose chote?