Mdau Anataka Kuanzisha TV - Iwe na Vipindi Gani?

Mdau Anataka Kuanzisha TV - Iwe na Vipindi Gani?

- Mkuu wasalaam, kumbe na wewe uko njiani, basi tutakutana huko karibuni maana TV station ya jamaa yangu bado inasua sua lakini iko kwenye matayarisho ya mwisho ilikuwa ifunguliwe Jan, lakini ikakwama kidogo, pia waliamua kuhamia kwenye makao yao, anyway naona tutakutana huko soon!

nb; Vipi Bado uko kwenye line ile ile ninataka kukutwangia, ni-PM.

Ahsante.

William.
lol basi member wa JF mtakutana wengi huko kwenye TV......FMES nae alisema atakuwa huo mshkaji wake aatafungua tv station......mtuwakilishe wana JF uko...

......kwanza jamaa yako tv yake anataka iwe ya kibiashara yaani a make profit au kalenga zaidi kuelemisha jamii profit nyuma?
 
- Sawa sawa tupo pamoja hapo mkuu! Bwa! ha! ha! lol!

Respect.

FMEs!
 
Mkuu, huna maoni yoyote mbali na kuomba kibarua?
Maoni hapa yatajaza eneo hili. Lakini nikileta barua ya kuomba kibarua, unisabilie hiyo Newsroom hapo nitaambatanisha na- plan of action. Kila la kheri Mkuu.
 
Allien,

Unaweza pia kuazima jani toka CNN. CNN won the battle of news audiences kwa kuhakikisha wanakuwa watu wa kwanza kuweka kamera kwenye tukio.

Na kuonesha kuwa hawabeep waliwafunika ITV vibaya mno siku ile Osama alipofanya mambo yake Dar es Salaam.

Hakuna aliyeamini eti picha za embassy bombing zinarushwa live na CNN ndani ya nusu saa tu toka tukio litokee wakati local media (kuanzia TV mpaka redio) bado wamelala.

So whatever you plan to do, when it comes to news you have big room. Hakuna live coverage za kutosha, na TV zetu haziwahi kwenye matukio.

Program nyingine zinazopendwa ni Reality Shows. Wabongo washakunywa mvinyo wa Big Brother, Star Search na kwa wenye madish Survival, etc.

Juzi juzi kuna wadau walilocalize mambo na kutengeneza Maisha Plus, wamepata response nzuri ... I am sure mwakani Maisha Plus itakuwa show moja itakayotazamwa sana.

So angalia uwezekano wa kuwa na Reality TV programs pia.

Mwisho kabisa mvuto wa watangazaji. Kuna TV bado hazielewi kuwa TV ni showbiz ... wanaweka watangazaji hawana hata mvuto.

Kina mama na kina dada wanataka kuona vijana handsome, na kina kaka wanataka kuona mademu bomba kwa TV. Usisahau hilo.

Kila la heri.
 
Du! Mwanangu, shule uliyonipa si Mchezo!

100% will be accomodated in my proposal kwa Mdau!

Thanks bro, you have said it all.
 
Wana JF,

Kuna mdau anataka ku-invest katika TV Station DSM na sasa anaandaa Mchanganuo kwa ajili hiyo ili kuufikisha katika vyombo husika by January 2010.

Anapenda TV atakayoianzisha iwe na mambo yafuatayo:

  • Iwe na vipindi vya kuvutia sana kiasi kwamba kila anayefungulia asihamie channel nyingine.
  • Iwe inaelimisha katika mambo ya msingi ambao Watazamaji watajifunza na yatawasaidia.
  • Isaidie Kupiga Vita Ufisadi
  • Isaidie kubadilisha Attitude ya Watanzania katika kujiletea maendeleo
  • Isaidie katika kuondoa umasikini kupitia vipindi vyake
  • Isaidie katika suala zima la Ujasiliamali.
  • Pia Entertainment, Michezo, Vipindi vya watoto nk. nk.
Inatakiwa zaidi ya 60% ya vipindi viwe local programs (Local Content) na chini ya 40% vinaweza kuwa vipindi vya nje (Foreign Content).

Je ni nini mawazo yako juu ya vipindi mbalimbali na viendeshwe kwa staili gani ili kufanikisha malengo yake?

Nimeififiua mada. Mi nadhani wakati Bill Gates anatengeneza software zake hakuifuata umma kuomba ushauri kiivyo. Katika principles of marketing kuna concepts kadhaa. mbili zikiwa ni product concept na production concept. Moja inasikiliza maoni ya walaji na moja inamsikiliza mzalishaji mwenyewe. Sasa always a customer is not right. We mtengenezee kitu hapo abaki akishangaa. Ndivyo anavyofanya Bill Gates. Ila huyo mdau ajaribu kufanya utafiti kuona ni kitu gani kimepelea. What we call lantent demand. Kishagundua jamii inakosa kitu/vitu gani basi aviweke hivyo.
 
Ukitaka kuwashika vijana onyesha mpira ligi za uingereza,hispania,italia.
onyesha movies nzuri,
 
Pia kumbuka 2014 mitambo ya analogue tv itaondolewa kama unaweza nunua mitambo ya digital tv.
 
Kuna vitu wanasahau watu wengi sana nalo ni suala la Mapenzi, lazima waweke vipindi kama hivi hapo ndio unaweza kupata watazamaji wengi
 
Mkuu hili wazo zuri lakini sisi wengine ktk maswala haya huwa tunalipwa hatufanyi kazi ya kanisa ktk biashara...Na maadam kaomba basi mwambie tuwasiliane.
Sharti la kwanza ajiunge JF...
 
Ni Africa pekee mtu anaweza kutazama TV akiwa na njaa. Watanzania wote mnataka kuwekeza kwenye mambo ya show afu mashamba sijihi alime nani?

WaSaudi wakitaka kupewa ardhi mnalalamika.
 
Mkuu hili wazo zuri lakini sisi wengine ktk maswala haya huwa tunalipwa hatufanyi kazi ya kanisa ktk biashara...Na maadam kaomba basi mwambie tuwasiliane.
Sharti la kwanza ajiunge JF...

Mkandara,

umenichekesha sana ! Kwa hiyo inapokuja kwenye mambo ya biashara una mambo ya kujitolea....LOL , thanks for making my day.
 
Ni Africa pekee mtu anaweza kutazama TV akiwa na njaa. Watanzania wote mnataka kuwekeza kwenye mambo ya show afu mashamba sijihi alime nani?

WaSaudi wakitaka kupewa ardhi mnalalamika.

Mkuu ina maana wewe unafanya kazi 24/7?
 
Back
Top Bottom