Mdau anauliza ni kwa nini offer za usajili ni kwa wachezaji wa Yanga tu? Simba kunani? Mbona hakuna hata mchezaji wa Simba anayetakiwa nje?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
MDAU - KILA KITU YANGA, WENGINE HAMUWAONI...!

✍️ Kaandika mdau wa soka, Ole Mushi !

"KWA NINI WACHEZAJI WA SIMBA HAWAULIZIWI NA TIMU KUBWA ZA NJE?"

"Sijasikia mchezaji hata mmoja wa Simba SC kutakiwa kununuliwa na timu za nje. Karibia wachezaji wote wa Yanga SC timu za nje zimetuma maombi ya kuwataka. Haya nayo ni mafanikio." - Thadei Ole Mushi

"Waandishi wote wa Habari nchini wamegeukia kuangalia transfer za Yanga SC na ndio CONTENT pekee inayouzika kwa sasa kwenye michezo nchini. Hii ndio tafsiri ya Club kubwa nchini….."

"Mashabiki wote wa Simba wana akili ya Kuku kukimbilia kwa jirani wakati anafukuzwa na mfugaji wake lakini jioni hurejea kwa mfugaji amfungulie banda alale. Nasema hivi kwa sababu mashabiki hawa wanafurahia wachezaji wa Yanga kutaka kusajiliwa nje ya nchi"

"Niwakumbushe tu kuwa hata walipowasajili hao wachezaji (2021) Simba walisema Yanga inataka kufungua Bendi ya kikongo. Na kweli Bendi hii ya kikongo imetutetemesha kuanzia Msimbazi hadi Jangwani Mwanza hadi Mtwara hakuna mtu ambaye hajui kutetema wazee vijana na watoto"

"(Simba) Wanarudia kosa lile lile, wanahangaika na ya Yanga wanasahau na wao wana jukumu la kuziba pengo la Bocco aliyezeeka, pengo la Kibu, Pengo la Onyango, nk. Yaani Pale Simba ni Inonga tu mwenye sifa ya kuvaa ile Jersey ya Mo"

© Thadei Ole Mushi
 
Miqsoon alienda al ahly ni sawa na Real Madrid ya ulaya
Chama kaenda Morocco
Kishingo Unajua mwenyewe
Uchebe unajua mwenyewe
Didier kocha Madagascar

Huyo NABI kwenda kaizer ndyo habari
Angekuwa kishingo je aliyeipeleka wydad fainal si mngefanya Parade

USM ALGEE BINGWA
 
Wachezaji wenyewe ndio wanapeleka barua za kutaka kuondoka, nadhani kuna kitu hakiko sawa huko utopoloni.

Lakini pia, huenda wachezaji wameamua kutafuta team kubwa zinazoendana na profile yao, kwa kawaida ni ngumu sana team ndogo kukaa na wachezaji wakubwa maana hii ni dunia ya samaki kula dagaa.

Hata huko ulaya zipo club ambazo hazina uwezo wa kukaa na wachezaji wakubwa, kiasi kwamba kila wachezaji wakipata umaarufu hunyang'anywa na vilabu vikubwa, mfano Ajax, Leipzig, Borussia..nk.
 
Rage ajengewe sanamu lake Msimbazi.

Hao uliowataja mlikuwa nao huu msimu ulioisha?
 
Wachezaji wenyewe ndio wanapeleka barua za kutaka kuondoka, nadhani kuna kitu hakiko sawa huko utopoloni.

Lakini pia, huenda wachezaji wameamua kutafuta team kubwa zinazoendana na profile yao, kwa kawaida ni ngumu sana team ndogo kukaa na wachezaji wakubwa maana hii ni dunia ya samaki kula dagaa.

Hata huko ulaya zipo club ambazo hazina uwezo wa kukaa na wachezaji wakubwa, kiasi kwamba kila wachezaji wakipata umaarufu hunyang'anywa na vilabu vikubwa, mfano Ajax, Leipzig, Borussia..nk.
Jibu swali, kwa nini wachezaji wa Simba hawapati offer za usajili?

Kungekuwa na tatizo Yanga wachezaji wasingepambana kuchukuwa mataji yote matatu na kufika fainali CAF.

Vipi fungaji bora letu Saidoo mbona hata Azzam hajawashtuwa?
 
Timu ya simba na mashabiki wake sijui wamerogwa na nani! Maana wanatumia muda mwingi kufuatilia masuala yaihusuyo timu ya Yanga kwa ujumla wake, kuliko yale masuala ya msingi yaihusuyo timu yao.
 
MDAU - KILA KITU YANGA, WENGINE HAMUWAONI...!

✍️ Kaandika mdau wa soka, Ole Mushi !

"KWA NINI WACHEZAJI WA SIMBA HAWAULIZIWI NA TIMU KUBWA ZA NJE?"

"Sijasikia mchezaji hata mmoja wa Simba SC kutakiwa kununuliwa na timu za nje. Karibia wachezaji wote wa Yanga SC timu za nje zimetuma maombi ya kuwataka. Haya nayo ni mafanikio." - Thadei Ole Mushi

"Waandishi wote wa Habari nchini wamegeukia kuangalia transfer za Yanga SC na ndio CONTENT pekee inayouzika kwa sasa kwenye michezo nchini. Hii ndio tafsiri ya Club kubwa nchini….."

"Mashabiki wote wa Simba wana akili ya Kuku kukimbilia kwa jirani wakati anafukuzwa na mfugaji wake lakini jioni hurejea kwa mfugaji amfungulie banda alale. Nasema hivi kwa sababu mashabiki hawa wanafurahia wachezaji wa Yanga kutaka kusajiliwa nje ya nchi"

"Niwakumbushe tu kuwa hata walipowasajili hao wachezaji (2021) Simba walisema Yanga inataka kufungua Bendi ya kikongo. Na kweli Bendi hii ya kikongo imetutetemesha kuanzia Msimbazi hadi Jangwani Mwanza hadi Mtwara hakuna mtu ambaye hajui kutetema wazee vijana na watoto"

"(Simba) Wanarudia kosa lile lile, wanahangaika na ya Yanga wanasahau na wao wana jukumu la kuziba pengo la Bocco aliyezeeka, pengo la Kibu, Pengo la Onyango, nk. Yaani Pale Simba ni Inonga tu mwenye sifa ya kuvaa ile Jersey ya Mo"

© Thadei Ole Mushi
Mi sijasikia timu ya nje ikimtaka mchezaji wa Yanga au kocha zaidi ya wachezaji kuomba kuondoka.
 
Kuna mti unaitwa mbanga hata ungekua umenyooka vp lakini ubao wake lazima uwe na kreki katikati ndo kama wewe sasa yaani hapo hakuna offa ya mchezaji hata moja iliyokuja kwenu zaidi ya wachezaji kutaka kuvunja mkataba tena kwa kusena ela zao za usajili mlilipa nusu sasa hiyo nusu iliyobaki ndo yakuvunjia mkataba hapo ofa iko wapi kama wewe sio mbanga simba ni klabu kubwa sio kuja kilahisi kuchukua mchezaji wanaemuhita mfano chukulua msimu sakho anachukua goli bola ofa zilikua nyingi lakini hukusikia eti avunje mkataba
 
Rage ana mademu wengi sana huko Yanga hamuishi kumtaja taja kwa jinsi anavyowapelekea moto wa.hatari
Jana nilikushauri tafuta mchezo wa kushabikia kwenye mpira huwezi.

Hizi lugha zako Mimi ni master, ukitaka twende huko nakukaribisha rasmi nikufunze adabu.
 
Mwandishi ana hamu ya kuwananga Simba tu labda kwa sababu ya kuendeleza makelele ya kila siku ya Simba vs Yanga...

Yanga wamekuwa wakiuza wachezaji au hata wale wanaomaliza muda wamekuwa wakikimbilia nchi nyingine...

Ingelikuwa na faida kwa Yanga na taifa kama hao wachezaji wanaotafutwa kwa udi na uvumba nje ya nchi wawe wabongo...
 
Kuna mti unaitwa mbanga hata ungekua umenyooka vp lakini ubao wake lazima uwe na kreki katikati ndo kama wewe sasa yaani hapo hakuna offa ya mchezaji hata moja iliyokuja kwenu zaidi ya wachezaji kutaka kuvunja mkataba tena kwa kusena ela zao za usajili mlilipa nusu sasa hiyo nusu iliyobaki ndo yakuvunjia mkataba hapo ofa iko wapi kama wewe sio mbanga simba ni klabu kubwa sio kuja kilahisi kuchukua mchezaji wanaemuhita mfano chukulua msimu sakho anachukua goli bola ofa zilikua nyingi lakini hukusikia eti avunje mkataba
Hao waliotoa offer kama ni kweli basi itakuwa walikua hawajitambui.
Timu ya nje imtake mchezaji kwa sababu ya kushinda goli bora tena kwa kupigiwa kura na washabiki wa hiyo timu anayotoka mchezaji?
 
Back
Top Bottom