Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
- Thread starter
- #21
Wabongo wenyewe hawa kina Fei Toto? akili hawana.Mwandishi ana hamu ya kuwananga Simba tu labda kwa sababu ya kuendeleza makelele ya kila siku ya Simba vs Yanga...
Yanga wamekuwa wakiuza wachezaji au hata wale wanaomaliza muda wamekuwa wakikimbilia nchi nyingine...
Ingelikuwa na faida kwa Yanga na taifa kama hao wachezaji wanaotafutwa kwa udi na uvumba nje ya nchi wawe wabongo...
Fei Toto angefika na Yanga mpaka fainali siamini kama angekwenda Azzam kwa umri wake ni bidhaa bora kabisa kwenye timu za ushindani, soko lake lingekuwa juu sana.
Halafu hao wachezaji wa Bongo ukiuliza wakala wake utaambiwa ni Bin Kazumari hapo unategemea future gani.