Mdau: Baada ya baba kupotea, rafiki yake ametuma watu wenye silaha kuvamia nyumba yetu akitaka tuhame

Kwa mazingira hayo, mahakama ndio itakayotoa majibu
 
Kwa mazingira hayo, mahakama ndio itakayotoa majibu
You are completely wrong and out of point. Je, hiyo Mahakama majibu itayatoa wapi ikiwa wewe mwenyewe Mlalamikaji au mdai hujawasilisha ufafanuzi wa kina au maelezo ya kina kuhusu madai/malalamiko yako???? Ikiwa wewe mwenyewe mdai au mlalamikaji huyajui madai/malalamiko yako, Je, Mahakama itayajuaje???

Kumbuka, Kazi ya Mahakama siyo Kupiga Ramli.
 
Niliwahi mwambia mke wangu haya mambo ya mikopo bora nkalime kwenu tarime ngiba nije adi wangu mmoja sio kuanza kufunga nyumba jamaa wakija kudai kha
mtaani kuna watu wa kighoma wanakopesha vyakula vyombo madaftari wanakusanya buku kwa siku ama buku mbili sasa wanapokuja wanagawana posn ingilia huku we elekea kule sasa wamama wanavyokimbia kujificha vichochoron utacheka sasa hii ya crdb ningekufa kabla ya wakt kha
 
You are completely wrong and out of point. Je, hiyo Mahakama majibu itayatoa wapi ikiwa wewe mwenyewe Mlalamikaji au mdai hujawasilisha ufafanuzi wa kina au maelezo ya kina kuhusu madai/malalamiko yako????
Mahakama itatupilia mbali hiyo kesi kama mlalamikaji hatokuwepo kwa kipindi fulani
 
Kwamba wamama wakishawasikia waha tu Wanatoka nduki [emoji23][emoji23]
 
Kama ni kweli ulichokiandika ni sahihi,

Basi , Muuaji au mhusika WA kupotea Kwa baba yenu ni huyo Kilumile.Nashangaa kwanini yupo nje Hadi Sasa?

Polis siyo Kila kitu lazima ichukue Rushwa hii kesi mbona ipo wazi?

Kwa mwendo huu polis ndo chanzo Cha wananchi KUCHUKUA sheria MKONONI,. POLISI IMKAMATE HARAKA SANA HUYO MZEE NA MWANAYE HUYO MWANAJESHI MWENYE CHEO KIKUBWA JESHINI WAONESHE ALIPO MZEE ISHENGOMA.

Watoto WA Mzee ISHENGOMA wapewe ulinzi WA polis na wapewe silaha za moto za kujilinda.

UKIUA KWA UPANGA NAWE IPO SIKU UTAKUFA KIFO KIBAYA.
 
🤣🤣🤣
malawi mbali
babati kuna mzee wa kipare ni hatari sijui ka yupo hai yule mzee. nlmsindikza bosi wangu oya niliyoyaona nikasema kurareki hii teknolojia kabisa
 
duh umetisha kamanda mkuu.
kwa hiyo hapo huyo mzee buberwa kaona achimbe aitelekeze familia akatese na dogodogo aiachie familia msala.
 
Kamrogeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…