Mdau: Baada ya baba kupotea, rafiki yake ametuma watu wenye silaha kuvamia nyumba yetu akitaka tuhame

Mkitaka kumjua Wambura halisi ni kuhusu namna atakavyoipuuzia hii kadhia.

Huwa yeye anapenda kushughulikia wakosoaji wa serikali kwa kuwabambika kesi na hata kuwasindikiza mbinguni.....

Polisi wa nchi hii ni kama sehemu ya uhalifu unaoisumbua jamii
 
Baba na mtoto jitokezeni mje kujibu kadhia hii ambayo inawahusu
 
Mambo ya kudhulumiana kwenye biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…