Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,026
- 5,299
Tatizo ni kwamba wanataka waforce all races kuwa na utamaduni mmoja, hapo ndo tunaonekana wakorofi. Nadhani mpango wa kugawa hizi races kwa mabara kama ulifanyika naturally, ilikuwa na maana kubwa sana. Kwamba weusi wengi (kama siyo wote) wawe Africa. it means wanaaina ya maisha yao wenyewe yanawafaa wenyewe ambayo hayaingiliani na mzungu, the same to Arabs na races nyingine.
Leo hii umchukue muadzabe wa kule maporini kabisa useme unamleta aishi Dar lazima utamuona mkorofi, au mpumbavu. Sababu atabehave tofauti na watu wa Dar, lakini ishu kubwa ni kwamba unamforce aishi maisha ambayo siyo yake.
Kwahiyo hizi races zipo sawa kabisa 😆😆😆 wazungu ndiyo wanazingua,