Arabs ni white races kama hujui kuanzia leo ujue
Arabs na Whites mara nyingi hazitumiwi kama races.
Hapo mwanzo ulikuwa ukizungumzia tabaka unazungumzia watu kama
1.
Caucasoid (or Caucasian) – Mara nyingi akimaanisha watu wa Ulaya, Mashariki ya Kati, na baadhi ya asili ya Asia ya Kusini.
2.
Negroid (or Black/African) – Kwa ujumla inarejelea watu wenye asili ya Kiafrika, haswa Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.
3.
Mongoloid (Asian) – Inarejelea watu wa asili ya Asia ya Mashariki, Asia ya Kusini-mashariki na Wenyeji asilia wa Marekani.
4.
Australoid – Inarejelea Wenyeji wa Australia na watu wa Melanesia, visiwa vya kando kama New Zealand.
Lakini hivi sasa tunapozungumzia tabaka (races, ethnicity and ancestry) tunazungumzia uwanja mpaka wa kutofautisha watu kimuonekano. Matabaka kwa Mfano;
European - jamii ya watu wa ulaya (., German, Italian, Greek)
Middle Eastern and North African (MENA) - Mtu wa mashariki ya kati na kutoka Kaskazini mwa Africa (., Arab, Berber, Iranian)
African - Muafrika (Yoruba, Zulu, Ethiopian, Muhaya, Mzaramo na jamii zote za Kibantu)
South Asian - Muasia wa Kusini (mfano., Mhindi, Mpakistani, Mbangladeshi)
East Asian - Muasia wa Mashariki (mfano., Mchina, Mjapani, Mkorea)
Southeast Asian - Muasia wa Kusini-Mashariki (mfano., Mfilipino, Mthailand, Mvietnam)
Native American/Indigenous Peoples - Mzawa Asilia wa Amerika (Mfano ., Navajo, Uinuit, Quechua, ("Jamii za wahindi Wekundu")
Pacific Islander - Mtu wa Visiwa vya Pasifiki (Mfano., polynesian, maori)
Hispanic/Latino - Walatino (Mfano., Mexican, Puerto Rican, Cuban)
Tafiti za kisasa zinazingatia utofauti wa vinasaba baina ya kundi la watu, urithi wa kitamaduni, na utambulisho wa kitamaduni kuliko kutumia vipengele vya rangi za ngozi vilivyopitwa na wakati.