Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Mara nyingi huwa nakutana na taarifa binafsi za watu zikitumika kama vifungashio zikiwa na majina, vitambulisho vya NIDA na leseni. Mara nyingine ni makaratasi ya matokeo ya mitihani au barua za maombi ya kazi zenye sura za watu. Hivi tume ya Ulinzi wa taarifa binafsi iko wapi kusimamia hili maana ni hatari na udhalilishaji kwenye ulimwengu huu wa digitali na teknolojia?