GE2025 Mdau: Rais Samia kwa sasa anamalizia awamu ya Magufuli, kwahiyo bado anamiaka yake 10 ya kuwa Rais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Hii miaka aliyokuwa anaiongoza mama ilikuwa ya awamu ya 5 ya Magufuli, mama awamu yake inaaza Oktoba 2025 hadi 2030 kwa kuchaguliwa kwa kupiga kura hapo sasa anaenda kuwa rais kamili wa kuchaguliwa na wananchi

Nyie ndiyo mnafanya watu wanawahishwa....aliyepita naye hivyohivyo...atatawala miaka 35 zaidi...wakampa 5 na nusu.Acheni mdomo,watu wanapomchukia mtu hawataki masihara.Kama ni wa kuongoza kipindi kirefu ataongoza tu ila vichumvi hivyo punguzeni
 
ibara ya 40 ipo wazi

Huu ni upotoshaji wa makusudi unaofanywa na machawa.

Kwa kuwa amekuwa madarakani kwa miaka 4+, inahesabika kama muhula kamili

Katiba inasema hivi:-

Ibara ya 40 (4)
"Endapo Makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu, ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini kama akishika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara moja tu."

Baada ya kumsikiliza Polepole nikajua kwa nini Samia baada ya kuapishwa tu akabadili awamu ya 5 kinyemela kuwa 6. Angeenda na awamu ya 5 ilikuwa inaisha 2025 na CCM wangemwaga oil kuleta awamu mpya ya 6.
Wahuni waliona mapema wakamwambia abadili awamu.
 
awamu ni nini? na tunanukuu kutoka wapi?
 
kwa mujibu wa katiba ya nchi SSH kama oktoba ataapishwa basi akifika 2030 anarudi kwao kizimkazi - --- someni katiba, ndo maana wanamtandao wanatuburuza tu
Samia tunaye mpaka 2035 awamu ya tano ambayo ni ya Magufuli anaimaliza Tarehe 29/10/25 so awamu ya sita inaanza 30/10/25 na mama lazima atumikie awamu zake mbili so tunaye mpaka 2035
 
Kwa mjibu wakatiba ipi? Kwn lazima awe rais? Hiyo miaka kumi haimalizi huyo. Akimaliza nakunya mpaka zanzibar huko
 
Samia tunaye mpaka 2035 awamu ya tano ambayo ni ya Magufuli anaimaliza Tarehe 29/10/25 so awamu ya sita inaanza 30/10/25 na mama lazima atumikie awamu zake mbili so tunaye mpaka 2035
ukiwa mtu mzima alafu ukashindwa kuelewa maandishi mafupi kama haya , napata mashaka sana na muelekeo wa taifa hili

Ibara ya 40 (4)
"Endapo Makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu, ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini kama akishika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara moja tu."

neno awamu au dhana ya awamu haina maana yeyote ile
 
Nyie ndiyo mnafanya watu wanawahishwa....aliyepita naye hivyohivyo...atatawala miaka 35 zaidi...wakampa 5 na nusu.Acheni mdomo,watu wanapomchukia mtu hawataki masihara.Kama ni wa kuongoza kipindi kirefu ataongoza tu ila vichumvi hivyo punguzeni
punguza jazba ndugu yangu sio wote wanaomsifia ni wema..wengine wanamtengenezea maadui..nasio wote wanamkandia au kumsema vibaya ni maadui wengine wanaangalia wanaompenda..kazi inabaki kwako kusuka au kunyoa.
 
ukiwa mtu mzima alafu ukashindwa kuelewa maandishi mafupi kama haya , napata mashaka sana na muelekeo wa taifa hili

Ibara ya 40 (4)
"Endapo Makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu, ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini kama akishika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara moja tu."

neno awamu au dhana ya awamu haina maana yeyote ile
Hii sisi hatuihesabu make ulikuwa ni urais wa Magufuli so urais wa samia tunaanza kuhesabu Tarehe 30th October 2025 kwa hiyo tunaye mpaka 2035 hiyo katiba ni kijitabu tu.
 
Back
Top Bottom