MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 10,115
- 15,057
Kwenye katiba hakuna story za awamu.... Katiba hamruhusu, labda wabadilisheKaangalie kwenye katiba wajuvi wa mambo wanasema hii ni awamu ya tano so awamu ya sita itaanza tarehe 30/October 2025 kwa hiyo mama tunaye mpaka 2035.