Mdau, ulitatua vipi kesi yako na NMB Bank?

Mdau, ulitatua vipi kesi yako na NMB Bank?

NOKE

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2023
Posts
280
Reaction score
596
Nina kesi na Bank ya Nmb yapata wiki sasa.

Eti wadau, huwa mnatatua vipi kesi zenu na hii Bank?

Kesi hiko hivi,

Nilifanya muamala kutoka Nmb Mkononi kwenda prepaid card, 1mil + jpili iliyopita.

Mpaka leo, ni siku saba sasa, lakini muamala huo bado haujatimia, wala fedha hazijarejeshwa.

Nilishawasiliana sana na Nmb kwa njia ya simu, email na ana kwa ana, lakini hawana jibu zaidi ya wanashughurikia.

Niwafanye nini hawa wapuuzi?

Mdau kesi ya hivi nideal nayo vipi? Ushauri plz.
 
Waambie hizo hela zilikua za kupeleka Kwa mgonjwa anunue dawa ambae kutokana na uzembe wao huo amefariki sasa unawafungulia mashtaka. Tafuta mwanasheria mmoja akutetee unadai 1b Kwa benki kusababisha kifo yaan umaskini baibai mkuu mie utanipa consultancy fee tu
 
Watu kwa fursa sasa
 
Napenda kutoa ushauri ya kwamba...
Kabla ujaleta malalamiko hakikisha una bank statement hii itakusaidia sana sana..

Usifike makao makuu kabla ya umalizana na tawi husika...

Mkuu hapo juu upo mkoa gani...
Kama upo dasalam kesho sa tano unaweza kuja makao makuu..
Ukifika getini wambie Umeagizwa na Malo....
 
Back
Top Bottom