Mdau, ulitatua vipi kesi yako na NMB Bank?

Mdau, ulitatua vipi kesi yako na NMB Bank?

Napenda kutoa ushauri ya kwamba...
Kabla ujaleta malalamiko hakikisha una bank statement hii itakusaidia sana sana..

Usifike makao makuu kabla ya umalizana na tawi husika...

Mkuu hapo juu upo mkoa gani...
Kama upo dasalam kesho sa tano unaweza kuja makao makuu..
Ukifika getini wambie Umeagizwa na Malo....
Safi boss..
 
Nilichukua mkopo chap nmb
Sasa sitaki kuwalipa Hadi mambo yangu yakae poa ndani ya siku chache
So nahifadhi hela zangu Airtel money
Aisee matapeli mbona wanapenda Airtel money hivi .kila saa wananipigia yaani
Hadi naogopa
Bank ni bank Tu tu japo wanazingua ila hawa matapeli jamani hawaniachi hata nipumue
Au wanafanya kazi na Airtel ?
 
Kawakomalie mkuu,Mimi walinisumbua mwaka jana mara wamefungia akaunt yangu kimakosa, ,mara ninatoa hela hawanitumii Password, mara wamenifyeka hela yao ghafra tu nilitoa kwenye ATM kwenye akaunti salio halikupungua mwaka mzima🤣🤣🤣🤣
Mara zotee hizo nikiwafuata nakomaa Nao mpaka kinaeleweka Hakuna cha masaa 24!!!!
 
Mimi wamenidhulumu 18k yangu.. walidouble deduction kwenye mshiko fast hadi leo hawajanirudishia,, eti Kila siku Wanashughulikia.. Kum@ sana Hawa NMB
Na nataka niwahame nihamie NBC
Pole sana mdau
 
Kiongozi, Malo

Asante kwa ushauri wako na moyo wa kujari.

Vile sina bahati niko mkoani, japo kesi yangu ipo kuanzia tawi hadi Hq, ambao niliwasiliana nao kwa simu na email.

Bank statement nilichukua jana nayo inaonesha hela zangu zilitoka na kwenda kusikojulikana.

Solve this plz, naweza kukutumia namba ya lalamiko pm.
Napenda kutoa ushauri ya kwamba...
Kabla ujaleta malalamiko hakikisha una bank statement hii itakusaidia sana sana..

Usifike makao makuu kabla ya umalizana na tawi husika...

Mkuu hapo juu upo mkoa gani...
Kama upo dasalam kesho sa tano unaweza kuja makao makuu..
Ukifika getini wambie Umeagizwa na Malo....
 
Kiongozi, Malo

Asante kwa ushauri wako na moyo wa kujari.

Vile sina bahati niko mkoani, japo kesi yangu ipo kuanzia tawi hadi Hq ambao niliwasiliana nao kwa simu na email.

Bank statement nimechukua jana nayo inaonesha ilayangu ilitoka kwenda kusikojulikana.

Solve this plz, naweza kukutumia namba ya lalamiko pm.
Mkuu hyo hela ishapigwa nmekupa hints namna ya kutumia hyo hela upate zaidi utakua mkombozi wa wengine we wauzie kesi ya mauaji Kwa kukucheleweshea hela yako ukitaka cheti Cha kifo wapo kibao tu wamefariki utapatiwa ata ya watu wanne. Kiongozi mie naiona kesi yako kama fursa ukipata wakili mzuri. Nakumbushia tu usinisahau consultancy allowance
 
Kiongozi, Malo

Asante kwa ushauri wako na moyo wa kujari.

Vile sina bahati niko mkoani, japo kesi yangu ipo kuanzia tawi hadi Hq, ambao niliwasiliana nao kwa simu na email.

Bank statement nilichukua jana nayo inaonesha hela zangu zilitoka na kwenda kusikojulikana.

Solve this plz, naweza kukutumia namba ya lalamiko pm.
Sawa mkuu karibu.
 
Mkuu pia mimi sio malo..
Ila huyo malo ni mtu wa karibu kabisa hivo naimani atashughulikia tatizo lako 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Kutumia Nmb bila kuwa na backup ni wazi ungedharirika.
Hawa wajinga nusu nidharirike,kuna siku nimeenda sehemu nimekunywa nikafanya malipo kwa lipa namba.Kwangu ikatoka inakoenda haikufika.Bahati nzuri nilikuwa na keshi
 
Back
Top Bottom