Awe na cheti cha kifo lakiniWaambie hizo hela zilikua za kupeleka Kwa mgonjwa anunue dawa ambae kutokana na uzembe wao huo amefariki sasa unawafungulia mashtaka. Tafuta mwanasheria mmoja akutetee unadai 1b Kwa benki kusababisha kifo yaan umaskini baibai mkuu mie utanipa consultancy fee tu
Nenda mahakamani utalipwa na fidia juuNiwafanye nini hawa wapuuzi?
Mdau kesi ya hivi nideal nayo vipi? Ushauri
Hawakusema, badala yake walidai ikiwa tayari watanipa taarifa kwa sms. Kifupi hawajui watarejesha lini.Ulipowasilisha malalamiko yako walikwambia itachukua siku ngapi?
Uliwafanyaje mkuuWachape na demand notes wadate kwanza , voda branch ya mwanza watakua wana hadithiana kunihusu kwenye vikaoo vyao mambo ya kuepuka.
NakaziaUliwafanyaje mkuu
Watu kwa fursa sasaWaambie hizo hela zilikua za kupeleka Kwa mgonjwa anunue dawa ambae kutokana na uzembe wao huo amefariki sasa unawafungulia mashtaka. Tafuta mwanasheria mmoja akutetee unadai 1b Kwa benki kusababisha kifo yaan umaskini baibai mkuu mie utanipa consultancy fee tu
Walikuambia watarudisha lini?Washenzi sana hao nilinunua vocha haikufika kila siku wanafanyia kazi leo siku ya nane
Unanitukana mkuuMimi wamenidhulumu 18k yangu.. walidouble deduction kwenye mshiko fast hadi leo hawajanirudishia,, eti Kila siku Wanashughulikia.. Kum@ sana Hawa NMB
Na nataka niwahame nihamie NBC
Samahani mkuu, ila mnaboa sana nyie unadhulumu pesa zetu kwa mistake ndogondogoUnanitukana mkuu
Taja tawi...Samahani mkuu, ila mnaboa sana nyie unadhulumu pesa zetu kwa mistake ndogondogo
Mtandao gani..?Washenzi sana hao nilinunua vocha haikufika kila siku wanafanyia kazi leo siku ya nane