muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 16,205
- 15,594
Safi boss..Napenda kutoa ushauri ya kwamba...
Kabla ujaleta malalamiko hakikisha una bank statement hii itakusaidia sana sana..
Usifike makao makuu kabla ya umalizana na tawi husika...
Mkuu hapo juu upo mkoa gani...
Kama upo dasalam kesho sa tano unaweza kuja makao makuu..
Ukifika getini wambie Umeagizwa na Malo....
Walianza 24 wakaja 72 wakaja inafanyiwa kaziWalikuambia watarudisha lini?
hela ilitoka Nmb kwenda Yas, ikatoka kwenye account lakini haikufika Kwangu , nikawapigia Nmb waka -comfirm iko pending leo siku ya naneMtandao gani..?
karibu mkuuSafi boss..
Okyhela ilitoka Nmb kwenda Yas, ikatoka kwenye account lakini haikufika Kwangu , nikawapigia Nmb waka -comfirm iko pending leo siku ya nane
Pole sana mdauMimi wamenidhulumu 18k yangu.. walidouble deduction kwenye mshiko fast hadi leo hawajanirudishia,, eti Kila siku Wanashughulikia.. Kum@ sana Hawa NMB
Na nataka niwahame nihamie NBC
Napenda kutoa ushauri ya kwamba...
Kabla ujaleta malalamiko hakikisha una bank statement hii itakusaidia sana sana..
Usifike makao makuu kabla ya umalizana na tawi husika...
Mkuu hapo juu upo mkoa gani...
Kama upo dasalam kesho sa tano unaweza kuja makao makuu..
Ukifika getini wambie Umeagizwa na Malo....
Mkuu hyo hela ishapigwa nmekupa hints namna ya kutumia hyo hela upate zaidi utakua mkombozi wa wengine we wauzie kesi ya mauaji Kwa kukucheleweshea hela yako ukitaka cheti Cha kifo wapo kibao tu wamefariki utapatiwa ata ya watu wanne. Kiongozi mie naiona kesi yako kama fursa ukipata wakili mzuri. Nakumbushia tu usinisahau consultancy allowanceKiongozi, Malo
Asante kwa ushauri wako na moyo wa kujari.
Vile sina bahati niko mkoani, japo kesi yangu ipo kuanzia tawi hadi Hq ambao niliwasiliana nao kwa simu na email.
Bank statement nimechukua jana nayo inaonesha ilayangu ilitoka kwenda kusikojulikana.
Solve this plz, naweza kukutumia namba ya lalamiko pm.
AppOky
Je unatumia app ya NMB
Hawa wajinga nusu nidharirike,kuna siku nimeenda sehemu nimekunywa nikafanya malipo kwa lipa namba.Kwangu ikatoka inakoenda haikufika.Bahati nzuri nilikuwa na keshiNdio nilitumia
App
Sawa mkuu karibu.Kiongozi, Malo
Asante kwa ushauri wako na moyo wa kujari.
Vile sina bahati niko mkoani, japo kesi yangu ipo kuanzia tawi hadi Hq, ambao niliwasiliana nao kwa simu na email.
Bank statement nilichukua jana nayo inaonesha hela zangu zilitoka na kwenda kusikojulikana.
Solve this plz, naweza kukutumia namba ya lalamiko pm.
Oky kama unatumia app vizri..Ndio nilitumia
App
Ahahaha pole mkuu..Hawa wajinga nusu nidharirike,kuna siku nimeenda sehemu nimekunywa nikafanya malipo kwa lipa namba.Kwangu ikatoka inakoenda haikufika.Bahati nzuri nilikuwa na keshi
Mkuu pia mimi sio malo..Kiongozi, Malo
Asante kwa ushauri wako na moyo wa kujari.
Vile sina bahati niko mkoani, japo kesi yangu ipo kuanzia tawi hadi Hq, ambao niliwasiliana nao kwa simu na email.
Bank statement nilichukua jana nayo inaonesha hela zangu zilitoka na kwenda kusikojulikana.
Solve this plz, naweza kukutumia namba ya lalamiko pm.
Sio kama atakua anachati na robotiNenda Nmb wasapu ni chap kwa haraka watatatua shida yako
Hawa wajinga nusu nidharirike,kuna siku nimeenda sehemu nimekunywa nikafanya malipo kwa lipa namba.Kwangu ikatoka inakoenda haikufika.Bahati nzuri nilikuwa na keshi