Mdau, ulitatua vipi kesi yako na NMB Bank?

Hawa wajinga nusu nidharirike,kuna siku nimeenda sehemu nimekunywa nikafanya malipo kwa lipa namba.Kwangu ikatoka inakoenda haikufika.Bahati nzuri nilikuwa na keshi
Hiyo siku nilinunua nilikua kijijini na usiku maduka hakuna sio mchezo
 
Kiongozi kama wewe ni wakili tufanye kazi pamoja.

Au nipe connection ya Wakili mzuri wa hizi kesi.
 
Airtel ni mtandao wa ******* sana matapeli wengi yaani ukifanya muamala mkubwa tu tayari matapeli wameshakucheki.
 
Airtel ni mtandao wa ******* sana matapeli wengi yaani ukifanya muamala mkubwa tu tayari wameshakucheki.
Hii digital age sijui tu. Mitandao na Bank zilikuwa salama sana. Now days risk kibao.
 
Hii digital age sijui tu. Mitandao na Bank zilikuwa salama sana. Now days risk kibao.
Hakika mkuu risk sana

Imagine nimetoka kuongea na mtu kuwa nitamtumia pesa kwenye airtel money

Nikawa sijamtumia huyo mtu, muda si mrefu tapeli akatuma meseji tuma kwenye namba hii, yaani ningejichanganya kidogo tu ingekula kwangu

Haya mambo ya ******* huwezi kuyakuta mitandao mingine

Wafanyakazi wote wa Airtel kumamae zenu
​
 
Kila taasisi ina SLA, Sales Level Agreement, maombi mengine yanachukua hadi siku saba kukamilika mfano kuomba reversal kutoka bank kwenda kwa simu, ushauri wangu tembelea tawi la NMB, chukua namba ya mtoa huduma aliyekuhudumia then make a follow-up, njia hii nirahis zaidi ya kutuma email au kupigasimu za call center, maana call center wanapokea email na simu kutoka matawi yote Tz so nirahisi kusahau ama kuskip au ku delay ombi lako kutokana na kuwa overloaded.
 
Airtel ni mtandao wa ******* sana matapeli wengi yaani ukifanya muamala mkubwa tu tayari matapeli wameshakucheki.
Yaani wananusa hatari.wanajua kabisa kuna sh ngapi.hadi naogopa mwenzangu
Wananipigia simu kila saa
Ngoja Tu nijikaze nilipe benk daah sio poa
Wanajuaje sijui?
Kipindi sijaweka hela walikuwa hawanipigii wala nini
 
Airtel wachunguzwe sio poa yaani
 
Mkuu vipi feedback
 
Mkuu vipi feedback
Bila bila, bado fedha hazijarudi.

Nimechukua number ya Bank officer kila day namcheki apushi hela yangu irudi.

Nikifanikiwa nitaleta feedback.
 
Ukilipa fedha isipoonekana kwa unaye mlipa Huwa imekaa hewani. Muda wa kurudi kwenye akaunti Yako Huwa haufahamiki. Yaweza kuchukua siku 3,4 lakini ni uhakika fedha itarudi kwako.Trh 23 ilinitokea hii hali Hela ilirudi kwenye akaunti trh 28.Hata bila kuwasiliana na Nmb itarudi TU niamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…