Mdau una zawadi ya kufungua leo au kuna mchongo unauskilizia?

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Boxing Day inaadhimishwa tarehe 26 Desemba ikihusishwa na desturi ya kugawa zawadi au msaada kwa watu wa hali ya chini

Boxing Day au ikifahamika zaidi kama Siku ya Zawadi ni muda wa kufurahia na kufungua zawadi za Sikukuu ulizopewa

Mdau, una chochote cha kufungua? Ulipewa au ulitoa zawadi kwa ndugu, jamaa na marafiki?
 
Kuna mchongo nauskilizia halafu Kuna Kila dalili unadunda, hahaha
 
Boxing Day inaadhimishwa tarehe 26 Desemba ikihusishwa na desturi ya kugawa zawadi au msaada kwa watu wa hali ya chini

Boxing Day au ikifahamika zaidi kama Siku ya Zawadi ni muda wa kufurahia na kufungua zawadi za Sikukuu ulizopewa

Mdau, una chochote cha kufungua? Ulipewa au ulitoa zawadi kwa ndugu, jamaa na marafiki?
SINA ZAWADI YOYOTE MDAU LABDA UNIGAWIE KIDOGO HIZO ZAKO
 
Boxing Day inaadhimishwa tarehe 26 Desemba ikihusishwa na desturi ya kugawa zawadi au msaada kwa watu wa hali ya chini

Boxing Day au ikifahamika zaidi kama Siku ya Zawadi ni muda wa kufurahia na kufungua zawadi za Sikukuu ulizopewa

Mdau, una chochote cha kufungua? Ulipewa au ulitoa zawadi kwa ndugu, jamaa na marafiki?
Zaqadi yangu ni hangover.. Sijaamka mpaka sahizi, nasubiri giza liingie nikalambe michuzi tena
 
Zawadi ni zawadi.
1000068760.jpg
 
Back
Top Bottom