Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,152
- 33,036
Mbona unaweweseka kulikoni?Endelea kujichekesha kimalayamalaya hivohivo! 29 ni black WEDNESDAY!
Huna lolote.Nataka nimtolee Ng'ombe Lori 2 kama Aziz Kwa Hamissa
MBOWE alikuwa ni tapeli tu 🚮septemba 23 /2024 maandamano aliyoyaitisha Mbowe wana dar es salaam tuliingia mitini, dhumuni la maandamano ni yale yale ya sasa kuomboleza walitekwa nk, kuishinikiza waziri wa mambo ya ndani na wakuu wa ulinzi na usalama kuwajibika, pamoja na kuishinikiza serikali kuruhusu wachunguzi huru maana polisi ni washukiwa
View: https://www.youtube.com/watch?v=IRgMIPp9F2A hali ilikua hii aliandamana na mtoto wake pamoja na waandishi wa habari
bado siku 40 wakuu kufika oktoba 29
movement hii itafeli kwa sababu haina planning
Context ya alichoitishia maandamano kwa wakati ule kilikua na point au lah?MBOWE alikuwa ni tapeli tu 🚮
Inaleta maana kabisa, watakuwa mashujaa.Watu mnaotaka kujinyonga na kufa , naomba mfe mkipambania haki za wanyonge
Mwabukusi sio wa kumwamini 100%, maandamano watafanya Watanzania wenyewe kwa hiari yao bila kuwa na ring leadersContext ya alichoitishia maandamano kwa wakati ule kilikua na point au lah?
So far naona rais wa TLS anataka kuitisha maandamano pia , tutashuhudia
Nakubaliana na wewe mkuuMwabukusi sio wa kumwamini 100%, maandamano watafanya Watanzania wenyewe kwa hiari yao bila kuwa na ring leaders
Wewe ni kiboko kwa kweli. Ila wakiamua kuchanga kwa WhatsApp group ambalo kila mchangaji anaona jina lake, huwezi KUTOBOAHayo mengine sifahamu, mm huwa nipo kamati ya kukusanya michango, nachojua ni kufyeka baadhi ya majina kwenye kalatasi ili hesabu ziende vyema...
Ni kweli ukiwa humu JF unaweza kudhania Tanzania ina hali mbaya ya haki za raia kama Somalia au Yemen. Yaani unaweza kuhisi nchi haina amani, lakini ukienda kwa ground watu wako busy kutafuta hela na wana furahaWakuu au kuna kitu me sielewi
Humu mtandaoniiiii watu wengi wanaonekana wakosoaji na wapingaji
Ila kitaaa naona watu wengiii sanaaaaaaa wanaenda kumtazama rais
Hii imekaaaje
Humu mtandaoniiiii watu wengi wanaonekana wakosoaji na wapingaji
Ila kitaaa naona watu wengiii sanaaaaaaa wanaenda kumtazama rais
Watu wana vituko kha!!
Nani atakubariana na huo utalatibu, kama vipi wachange wenyewe pambafu zao...Wewe ni kiboko kwa kweli. Ila wakiamua kuchanga kwa WhatsApp group ambalo kila mchangaji anaona jina lake, huwezi KUTOBOA
Na mimi sijakusemea wewe! Una kichwa chako unaweza kuongea na wewe mawazo yako! 29.10 black WEDNESDAY! Better be prepared!Ni black kwa wewe ambaye hutakwenda kutiki