GE2025 Mdau wa Twitter aahirisha kujinyonga hadi tarehe 29/10/2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Na kweli ukiniweka mimi na mange mimi nina viminofu kumzidi😝😝😝😝Njoo kula minofu achana na hiyo mifupa huko
Kunitamanisha tu, kunipa aaah 🀣
 
Kutoka Twitter anasema alitaka kujinyonga kutokana na depression za maisha, lakini ameahirisha hadi siku ya maandamano ya Mange Kimambi tarehe 29/ 10/ 2025.

View attachment 3475622


Uwezekano wa watanzania kuandamana ni asilimia 10, kutokujitokeza kupiga kura ni asilimia 95


Uwezekano wa watanzania kuandamana ni asilimia 10, kutokujitokeza kupiga kura ni asilimia 95​

Prev
Jump to newSubscribe
β€’β€’β€’
[IMG alt="baz kaiza"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/271/271011.jpg?1758115884[/IMG]

baz kaiza​

JF-Expert Member​

Jan 27, 2015 9,092 8,006
Huu ndo ukweli mchungu
Hakuna mtu ataandamana,
Ila kuna wapumbavu wengi watapiga kura.



[IMG alt="Mbaga Jr"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/490/490736.jpg?1535403608[/IMG]

Mbaga Jr​

JF-Expert Member​

May 28, 2018 38,298 89,305
Huu ndo ukweli mchungu
Akataaye ukweli huu bc ameamua kushupaza shingo.

Nothing is permanent


[IMG alt="Mjusi Sharobalo"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/821/821578.jpg?1757107067[/IMG]

Mjusi Sharobalo​

JF-Expert Member​

Sep 4, 2025 790 1,100
Fanya upesi ulete mahari iyo kabla ya oktoba
Usihofu mama siwezi kufa kizembe vitani kabla sijatimiza ahadi yangu...



[IMG alt="Mwachiluwi"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/662/662681.jpg?1752842190[/IMG]

Mwachiluwi​

JF-Expert Member​

Mar 10, 2022 31,802 62,133
Nawaza kwa sauti.....

Siku hiyo ukitoka utaambiwa unaandamana, kwahiyo nani atapiga kura? 😁

Polisi watakua bize kuzuia maandamano, sasa vituo vya kura vitalindwa na nani..... Siku ishakua na mambo mengi hiyo
Mwambien mange apang siku nyingine



[IMG alt="PART ASIFIWE MALILA"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/747/747305.jpg?1758478974[/IMG]

PART ASIFIWE MALILA​

Member​

Mar 21, 2024 6 3
Jambo la msingi ni kupinga mifumo mibovu inayonyonya wananchi.




Mwana parokia​

JF-Expert Member​

Sep 27, 2023 627 825
Iko hivi

Tarehe 28.10.2025 huku kwetu tumepanga kuamka saa sita usiku kufanya yafuatayo

1.Tutazuia (Block) njia zote Kwa magogo ,mawe na matofali
2.Tutachoma matairi yote
3.Tutapiga BARUTI
Saa kumi usiku tutaenda kulala wote .

Tarehe 29.10.2025 tumepanga kufanya yafuatayo
1.Tutaamka saa Tisa usiku
2.Vituo vya kupigia kura vile ambavyo ni vya kjengwa na tutubali tutabomoa
3.Walinzi wote watapata kichapo kidogo
4.Walimu wote watakaosimamia uchaguzi tutawazuia alfajili kwenda kwenye Halmashauri zao saa kumi na Moja na Kila mmoja atapata kichapo.
5.Walimu na wasimamizi watakao bahatika kufika kuchukua vifaa tutawanyanganya njianj
6.Saa kumi na mbili alfajiri tutaenda kulala wote .

Tutawaacha polisi waendelee
 
Keyboard warriors mna Mbwembwe Sana nyie πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…