Ndio ujifunze kuiamini taasisi usiwaamini watu, hao huja na kutoweka, lakini taasisi iliyoundwa kwa misingi ya sheria haiwezi ondoka.
Alichonitenda Dkt. Slaa sitamsahau yule mzee, niliamuamini nikajua huyu ndie Chadema, lakini alivyokuja kuchukuliwa na TISS wakaenda kumficha hotelini pale ndio "nilizima fegi"
Kuna mwingine anaitwa Lijualikali, kapoteana vibaya. And bahati Mbaya sana kwao aliyekuwa anawabeba huko kafa, Mama hana Time nao. Moto wataopelekewa na akina Nape lazima akili iwarudi.
halima alijijengea heshima kumbwa sana na niikuwa namwona kama mwanasiasa mkubwa huko mbele tena si kwa tz tu nilikuwa nawazaatakuja kupatanafasi za kiuongozi kimataifa lakini sasa basiHuwa natamani Mdee aombe msamaha na aachane na ubunge angalau asamehewe.
Amepitia misukosuko mingi hakustahili kujikosesha heshima kwa kitu kidogo kiasi hiki
Ha ha ha ha Walikua wanaziba nafasi za wana na ile CCM mpya yao. Yaan Leo hii Bashiru ambae alikua CUF ndo wakumuamini na kumfanya katibu akat ata Chipukizi ajawai pitiaKuna mwingine anaitwa Lijualikali, kapoteana vibaya. And bahati Mbaya sana kwao aliyekuwa anawabeba huko kafa, Mama hana Time nao. Moto wataopelekewa na akina Nape lazima akili iwarudi.
Akiomba msamaha namuoa Kama atakua hajapata mchumba.Huwa natamani Mdee aombe msamaha na aachane na ubunge angalau asamehewe.
Amepitia misukosuko mingi hakustahili kujikosesha heshima kwa kitu kidogo kiasi hiki
Lijualikali na Bulaya ndio hopeless kabisa.Kuna mwingine anaitwa Lijualikali, kapoteana vibaya. And bahati Mbaya sana kwao aliyekuwa anawabeba huko kafa, Mama hana Time nao. Moto wataopelekewa na akina Nape lazima akili iwarudi.
Eeenh Heee,halima alijijengea heshima kumbwa sana na niikuwa namwona kama mwanasiasa mkubwa huko mbele tena si kwa tz tu nilikuwa nawazaatakuja kupatanafasi za kiuongozi kimataifa lakini sasa basi
Tunahitaji sera mbadala nje ya CCM, Chadema imejengwa kitaasisi zaidi na ndio maana wameondoka watu maarufu sana lakini bado imeendelea kuwa imara, chama kimepitia kwenye misukosuko mikali sana kuwahi kupitia chama chochote cha siasa lakini bado kimeendelea kuwa imara. So hata aondoke Mbowe bado Chadema itaendelea kuwepo.Tuliwaona ni makamanda walioiva mno, waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya kutetea, haki za binadamu, demokrasia, katiba na n.k
Lakini mmoja baada ya mwingine wakaanza kusaliti kambi ya mapambano. Wakathamini fedha na madaraka kuliko kuwatetea wananchi, Aisee!!
Halafu leo utakuja kuniambia kuna wanasiasa wanapigania katiba, haki, demokrasia na maslahi ya nchi, Ah wapii.. Sitakuelewa.
Wanasiasa wengi wa nchi masikini wapo kwa ajili ya kutetea matumbo yao tu.
Kazi iendelee.
Mkuu tema mate chini chama kipo ila sio imara kama zamani kimepoteza mvuto kwa kiasi kikubwaTunahitaji sera mbadala nje ya CCM, Chadema imejengwa kitaasisi zaidi na ndio maana wameondoka watu maarufu sana lakini bado imeendelea kuwa imara, chama kimepitia kwenye misukosuko mikali sana kuwahi kupitia chama chochote cha siasa lakini bado kimeendelea kuwa imara. So hata aondoke Mbowe bado Chadema itaendelea kuwepo.