Ukiona chadema wanaongea utajua hawa jamaa wanamisimamo kweli kweli, hakuna chadema iliyokuww imara kama ile ya dr slaa ila ya saivi ni kama simba asiye na meno wala kucha anatisha tu ila hang'ati. Wote saivi wamebaki kumlilia mama na kujipendekeza baada ya mama kuwaambia atakutana nao huoni chochote saivi kinachozungumzwa wanashindwa kuelewa kuwa mama hakutani na chadema tu ila atakutana hadi na mzee rungwe. Saivi akina mdee nao wafukuzwe mnategemea nini kwenye uchaguzi wa 2025 si akina gwajiboy watajichukulia majimbo kirahisi tu. Ukiona wanvyoongea utadhani wanauchungu na nchi kumbe kinachowauma ni kukosa madaraka na hela za mishahara na ruzuku kupungua. Hakuna siasa bongo ni upuuzi na ujuha tu watu wanataka vitengo ili waibe na kulisha familia zao hamna lolote.