Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Halafu jiwe kafa kamuacha kwenye mataa.Kuna yule alisema "I have a family to feed, not a community to impress"
Mwanasiasa sii mtu wa kumuamini, yani kama Halima kwakweli doh!!!!
Kilichomtoa Dr Slaa pale Ufipa ni msimo wake.Ndio ujifunze kuiamini taasisi usiwaamini watu, hao huja na kutoweka, lakini taasisi iliyoundwa kwa misingi ya sheria haiwezi kuondoka.
Alichonitenda Dkt. Slaa sitamsahau yule mzee, niliamuamini nikajua huyu ndie Chadema haswa, lakini alivyokuja kuchukuliwa na TISS wakaenda kumficha hotelini pale ndipo "nilizima fegi"
Umechokoza kutaka kutuletea habari za Makonda ukapigwa spana za kutosha sasa unatafuta kupunguza maumivuTuliwaona ni makamanda walioiva mno, waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya kutetea, haki za binadamu, demokrasia, katiba na n.k
Lakini mmoja baada ya mwingine wakaanza kusaliti kambi ya mapambano. Wakathamini fedha na madaraka kuliko kuwatetea wananchi, Aisee!!
Halafu leo utakuja kuniambia kuna wanasiasa wanapigania katiba, haki, demokrasia na maslahi ya nchi, Ah wapii.. Sitakuelewa.
Wanasiasa wengi wa nchi masikini wapo kwa ajili ya kutetea matumbo yao tu.
Kazi iendelee.
Hata akiomba msamaha hawezi kupewa heshima ambayo alikuwa anapewa.Huwa natamani Mdee aombe msamaha na aachane na ubunge angalau asamehewe.
Amepitia misukosuko mingi hakustahili kujikosesha heshima kwa kitu kidogo kiasi hiki
Ilikuwa hujui mpaka leo hii!Tuliwaona ni makamanda walioiva mno, waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya kutetea, haki za binadamu, demokrasia, katiba na n.k
Lakini mmoja baada ya mwingine wakaanza kusaliti kambi ya mapambano. Wakathamini fedha na madaraka kuliko kuwatetea wananchi, Aisee!!
Halafu leo utakuja kuniambia kuna wanasiasa wanapigania katiba, haki, demokrasia na maslahi ya nchi, Ah wapii.. Sitakuelewa.
Wanasiasa wengi wa nchi masikini wapo kwa ajili ya kutetea matumbo yao tu.
Kazi iendelee.
pole kwankichelewa kulifaham hilo. wenzio tulishajua mapema before jpm.. before jkTuliwaona ni makamanda walioiva mno, waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya kutetea, haki za binadamu, demokrasia, katiba na n.k
Lakini mmoja baada ya mwingine wakaanza kusaliti kambi ya mapambano. Wakathamini fedha na madaraka kuliko kuwatetea wananchi, Aisee!!
Halafu leo utakuja kuniambia kuna wanasiasa wanapigania katiba, haki, demokrasia na maslahi ya nchi, Ah wapii.. Sitakuelewa.
Wanasiasa wengi wa nchi masikini wapo kwa ajili ya kutetea matumbo yao tu.
Kazi iendelee.
Sawa tumekusikia Josephine Mushumbushi hawara wa Dr. MihogoKilichomtoa Dr Slaa pale Ufipa ni msimo wake.
Hizo habari za kusema alinunuliwa sijui mkewe alimfungia ndani ni propaganda tu.
Kwa hiyo, nini maoni yakoTuliwaona ni makamanda walioiva mno, waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya kutetea, haki za binadamu, demokrasia, katiba na n.k
Lakini mmoja baada ya mwingine wakaanza kusaliti kambi ya mapambano. Wakathamini fedha na madaraka kuliko kuwatetea wananchi, Aisee!!
Halafu leo utakuja kuniambia kuna wanasiasa wanapigania katiba, haki, demokrasia na maslahi ya nchi, Ah wapii.. Sitakuelewa.
Wanasiasa wengi wa nchi masikini wapo kwa ajili ya kutetea matumbo yao tu.
Kazi iendelee.
Kweli kabisa,msimamo wake wa kumkataa Lowasa ambae miaka yote yeye Slaa alimtanabaisha kama mmoja wa mafisadi. alafu anakaribishwa eti kwasababu kaweza kumnunua Mbowe mmiliki wa chama!,mzee wa watu akajiondokea chama kikafa kimikakati na weredi.Kilichomtoa Dr Slaa pale Ufipa ni msimo wake.
Hizo habari za kusema alinunuliwa sijui mkewe alimfungia ndani ni propaganda tu.
Sio hao tu,hata ingekuwa wewe ungafanya hivyihivyoTuliwaona ni makamanda walioiva mno, waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya kutetea, haki za binadamu, demokrasia, katiba na n.k
Lakini mmoja baada ya mwingine wakaanza kusaliti kambi ya mapambano. Wakathamini fedha na madaraka kuliko kuwatetea wananchi, Aisee!!
Halafu leo utakuja kuniambia kuna wanasiasa wanapigania katiba, haki, demokrasia na maslahi ya nchi, Ah wapii.. Sitakuelewa.
Wanasiasa wengi wa nchi masikini wapo kwa ajili ya kutetea matumbo yao tu.
Kazi iendelee.
Tafadhali Siku zingine uache kabisa Kumfafanisha Mzee Joseph Butiku ( Jicho Kuu Kiakili la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere katika Utawala wake wote ) na hawa 'Majuha' wengine uliowataja hapa sawa?Tuliwaona ni makamanda walioiva mno, waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya kutetea, haki za binadamu, demokrasia, katiba na n.k
Lakini mmoja baada ya mwingine wakaanza kusaliti kambi ya mapambano. Wakathamini fedha na madaraka kuliko kuwatetea wananchi, Aisee!!
Halafu leo utakuja kuniambia kuna wanasiasa wanapigania katiba, haki, demokrasia na maslahi ya nchi, Ah wapii.. Sitakuelewa.
Wanasiasa wengi wa nchi masikini wapo kwa ajili ya kutetea matumbo yao tu.
Kazi iendelee.
Yaani hata hajishtukiiHuwa natamani Mdee aombe msamaha na aachane na ubunge angalau asamehewe.
Amepitia misukosuko mingi hakustahili kujikosesha heshima kwa kitu kidogo kiasi hiki
Bora hao wana timu.Wanasiasa ni kama wachezaji soka.
Akiwa team A utasikia "nafurahi sana kuwepo kwenye club hii ni club ya ndoto yangu, nitajitolea kwa uwezo wangu wote kuisaidia team hii kushinda vikombe"
Ghafla team B ikipanda dau anahama halafu interview unasikia
"team B ndio team bora kuliko zote duniani na ndio team ninayoipenda toka utotoni ndio team ya ndoyo yangu nitajitahidi kupambana tushinde makombe mengi kadiri tuwezavyo".
Team C ikija mambo ni yale yale.
Pesa inahamisha akili.
Unamuacha wapi mbowe ambae alihongwa na Lowassa akamtimua Slaa?
Wanasiasa wa upinzani nchi hii ni wachumia tumbo tu hawana msaada ama nia ya kutusaidia kuiondoa ccm.
Wanataka demokrasia huku wao vi wenyeviti wa maisha wa vyama vyao.
Tumia akili hizi hizi kuhoji ccm ubora wa elimu huduma za afya kupungua kwa umaskini kuongezeka gharama ya maishaTuliwaona ni makamanda walioiva mno, waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya kutetea, haki za binadamu, demokrasia, katiba na n.k
Lakini mmoja baada ya mwingine wakaanza kusaliti kambi ya mapambano. Wakathamini fedha na madaraka kuliko kuwatetea wananchi, Aisee!!
Halafu leo utakuja kuniambia kuna wanasiasa wanapigania katiba, haki, demokrasia na maslahi ya nchi, Ah wapii.. Sitakuelewa.
Wanasiasa wengi wa nchi masikini wapo kwa ajili ya kutetea matumbo yao tu.
Kazi iendelee.
Na kwa Sasa slaa Yuko na kina lowasa chama kimoja ccm.Siasa kwa kweli ni mchezo mchafuKweli kabisa,msimamo wake wa kumkataa Lowasa ambae miaka yote yeye Slaa alimtanabaisha kama mmoja wa mafisadi. alafu anakaribishwa eti kwasababu kaweza kumnunua Mbowe mmiliki wa chama!,mzee wa watu akajiondokea chama kikafa kimikakati na weredi.
Tuliwaona ni makamanda walioiva mno, waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya kutetea, haki za binadamu, demokrasia, katiba na n.k