Mdee, Gekul, Silinde, Nassari, Butiku, Bulaya, Katambi, ndio wamenifanya niamini kwamba siasa Tanzania ni kuchumia tumbo tu sio kuwatumikia wananchi

Ukiona chadema wanaongea utajua hawa jamaa wanamisimamo kweli kweli, hakuna chadema iliyokuww imara kama ile ya dr slaa ila ya saivi ni kama simba asiye na meno wala kucha anatisha tu ila hang'ati. Wote saivi wamebaki kumlilia mama na kujipendekeza baada ya mama kuwaambia atakutana nao huoni chochote saivi kinachozungumzwa wanashindwa kuelewa kuwa mama hakutani na chadema tu ila atakutana hadi na mzee rungwe. Saivi akina mdee nao wafukuzwe mnategemea nini kwenye uchaguzi wa 2025 si akina gwajiboy watajichukulia majimbo kirahisi tu. Ukiona wanvyoongea utadhani wanauchungu na nchi kumbe kinachowauma ni kukosa madaraka na hela za mishahara na ruzuku kupungua. Hakuna siasa bongo ni upuuzi na ujuha tu watu wanataka vitengo ili waibe na kulisha familia zao hamna lolote.
 
Kwenye msafara wa mamba na kenge nao wamo
 
Mkuu tema mate chini chama kipo ila sio imara kama zamani kimepoteza mvuto kwa kiasi kikubwa
Chadema ni kama mti uliooteshwa kando kando ya chemchemi za maji. Hata kikipita kwenye ukame kiasi gani hakiwezi kusinyaa. Never and never again
 
Unaujua utamu wa message umelipwa Tshs 11,000,000 kutoka Bunge...kila mwezi
Au Ndugu mteja umelipwa Tshs 250,000,000.....kila baada ya miaka mi5
Kama hujui kaa kimya tafadhali!😆

Everyday is Saturday........................... 😎
 
Kweli kabisa,msimamo wake wa kumkataa Lowasa ambae miaka yote yeye Slaa alimtanabaisha kama mmoja wa mafisadi. alafu anakaribishwa eti kwasababu kaweza kumnunua Mbowe mmiliki wa chama!,mzee wa watu akajiondokea chama kikafa kimikakati na weredi.
Je sasa hivi Rowasa yupo Act na yeye Slaa yupo cuf? Mbona wote wapo ccm na hajamkimbia tena?
 
[emoji28][emoji3][emoji3] Kama nakuona ww ndo mchezaji unaongea haya...
 
Hao ni sehemu ndogo sana ya Watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…