Halafu anawaita "mashujaa"!Unda chama chako wachukue, naamin chama kinakuwa kikubwa. Achen aya mambo, waambie wajirekebishe, na kuanza upya sio ujinga.
Ata kama wataendelea kuwa wabunge Ila tambua kuwa hawaaminiki tena
We jamaa ni bure sana.Waombe radhi kwa chama.Ulitaka waombe maji ya kunywa?Waombe radhi kwa nani?
Mchakato wote ulikuwa wa kihuni inabidi mchakato uanze upya kuwasikiliza kuanzia kamati kuu.
Hebu tueleweshe ni wapi palikiukwa mkuu?Hao wataendelea kuwa wabunge wa Chadema, wakienda mahakamani wanashinda mchana kweupe sababu utaratibu wa kuwafukuza ulikuwa wa kihuni haukufata katiba.
Na kwani lazima wawe CHADEMA waende ACT na ACT iwapeleke bungeniKatiba inaruhusu mtu kujiamulia kuwa mbunge au kudhamimiwa na chama?. Yani watu wanajikusanya wanapata state finance wanaenda bungeni bila kupitia kwenye chama.
Majina yalipelekwa na Chama.. hukuiona barua iliyosainiwa na katibu mkuu? Wale ni wabunge halali na mahakamani watashindaKatiba inaruhusu mtu kujiamulia kuwa mbunge au kudhamimiwa na chama?. Yani watu wanajikusanya wanapata state finance wanaenda bungeni bila kupitia kwenye chama.
Naunga mkono hoja, baadhi yao, akiwemo Halima Mdee na Esta Bulaya, hawa ni wanasiasa very good assets kisiasa, Chadema turned these assets into liabilities. Kama hawakutendewa haki, kiukweli kabisa, karma itaitafuna Chadema!.Mbele ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kina Halima Mdee hawana kosa lolote na hivyo Kituo kinachofuata ni Mahakamani kupinga kufukuzwa chama.
Naunga mkono hoja, baadhi yao, akiwemo Halima Mdee na Esta Bulaya, hawa ni wanasiasa very good assets kisiasa, Chadema turned these assets into liabilities. Kama hawakutendewa haki, kiukweli kabisa, karma itaitafuna Chadema!.Katiba inaruhusu mtu kujiamulia kuwa mbunge au kudhamimiwa na chama?. Yani watu wanajikusanya wanapata state finance wanaenda bungeni bila kupitia kwenye chama.
We MÀTAGA,Mbele ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kina Halima Mdee hawana kosa lolote na hivyo Kituo kinachofuata ni Mahakamani kupinga kufukuzwa chama.
Imekula kwao..Naunga mkono hoja, baadhi yao, akiwemo Halima Mdee na Esta Bulaya, hawa ni wanasiasa very good assets kisiasa, Chadema turned these assets into liabilities. Kama hawakutendewa haki, kiukweli kabisa, karma itaitafuna Chadema!.
Karibu mitaa hii A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?,
Japo dhulma za aina hii, haziwezi kupata suluhisho la kisheria mahakamani ni kuongeza tuu siku ili kuendelea kuvuta posho, haki ya kweli, inapatikana kupitia karma!. Tena kuna karma zisizo za lazima kabisa kwa Chadema kama chama, na kwa individual players!.
P.