Mdee na wenzako 18 nendeni mkaipate haki yenu Mahakamani

Mdee na wenzako 18 nendeni mkaipate haki yenu Mahakamani

Sisi ndio tunahaha wenyewe wanajuana vizuri tu.hii nchi inaupinzani basi si acting tu.....umemtaja zito na mrema umemsahau slaa tuliemtesekea.
 
kura zimepigwa mbele yao,hakuna mjumbe anayelalamikia maamuzi. Ajabu CCM ndio mnaumia.
Pia unaonekana una shida kichwani,unabwata tu bila hoja. Mara Sabaya, mara haki.
Swali: Eleza jinsi gani kura hazikuwa huru na haki,ikiwa zimepigwa mbele yao
Kwa sasa CCM na Chadema wana sifa zinazofanana na kwa ujumla haziwezi kuleta mstakibali mzuri kwa nchi hawafai kwa chochote
 
kura zimepigwa mbele yao,hakuna mjumbe anayelalamikia maamuzi. Ajabu CCM ndio mnaumia.
Pia unaonekana una shida kichwani,unabwata tu bila hoja. Mara Sabaya, mara haki.
Swali: Eleza jinsi gani kura hazikuwa huru na haki,ikiwa zimepigwa mbele yao
Wew ndo una matatizo,unategemea huyo ataongea kipi chenye mashiko!!!!!!??? Hivi unajua stress za kufiwa mwenza( mume) ? It's only mama Janet ambaye ameweza ku absorb that terrible pain,the rest (wives)ndo kama hivyo unavyoona wamechanganyikiwa. RIP jiwe
 
Hao wataendelea kuwa wabunge wa Chadema, wakienda mahakamani wanashinda mchana kweupe sababu utaratibu wa kuwafukuza ulikuwa wa kihuni haukufata katiba.
Wewe ndiyo unaujua utaratibu wa kikatiba kuliko karibu mkuu wa CDM ?
 
Umuulize ZZK aliishia wapi na mahakama .... hao covid-19 siyo wanachadema tena ... period ... mahakama haiwezi kuwarudishia uanachama
 
Hivi mmeshajiuliza kilichozumgumzwa kati ya Mbowe na Rais Samia!
"Mkimalizana na mabinti wale basi mtakuja kama chama tujue tunafanyaje kutoka hapa. Maana hamuwezi kuwafukuza bunge likakosa akidi. Pia ninyi kutokuwepo bungeni inaleta picha mbaya kwa wahisani. Nenda mkamalizane nao kisha mrudi hapa kama chama. Safari hii siyo kikao cha Samia na Mbowe, kitakuwa kikao cha CCM na serikali na Chadema kama chama."

Rais Samia Suluhu Hassan
Ikulu Dar es Salaam.
 
Umekuwa hakimu wa upande mmoja. Sawa covid 19 waende mahakamani na chadema je wafanye nini pia kwenye hili dhidi ya msimamo wao?
 
Waombe radhi kwa nani?

Mchakato wote ulikuwa wa kihuni inabidi mchakato uanze upya kuwasikiliza kuanzia kamati kuu.
Hahahaha.... utasubiri sana!! Too late rafiki?
 
Wanawake mashujaa wa CHADEMA waliofukuzwa kihuni, Halima Mdee na wenzake bado wana nafasi ya kuipata haki yao.

Nawashauri waende mahakamani kuipata haki yao.

Kilichotokea kwenye mchakato wa kuwafukuza uanachama ni uhuni kwa kuwa katiba ya CHADEMA haikufuatwa tangu kikao cha CC ya chama.

Baraza Kuu pia alikufuata utaratibu wa kikatiba jinsi ya kuwasikiliza na kufanya maamuzi.

Bado tunawahitaji wanawake hawa wa shoka. Mahakama zetu zitatenda haki.
CHADEMA hatuna viumbe wa hovyo kama wewe na Mdee wako.
MaCCM maisha bila CHADEMA hayaendi sio , Ulivyo MALAYA wa njaa unajigeuza geuza humu ili mradi tumbo lishibe. MaCCM nyie ni watu wa hovyo sana.
Mpeni Mdee kazi maalum iliomshinda Mwendawazimu Magufuli ya kuifuta CHADEMA labda Mdee ataiweza.
 
Waombe radhi kwa nani?

Mchakato wote ulikuwa wa kihuni inabidi mchakato uanze upya kuwasikiliza kuanzia kamati kuu.
Hivi bungeni waliingia kwa kura zipi za ushindi? Yaan wanawake gani wa shoka wanapulizwa na upepo wanapeperuka km bendera, kama magu aliamua kuminya democracy akavinyima vyama vyoooote ubunge afu akachagua covid19 kimabavu wakaingia bungeni afu hawana sauti ya kusema suu
 
Back
Top Bottom