Naunga mkono hoja, baadhi yao, akiwemo Halima Mdee na Esta Bulaya, hawa ni wanasiasa very good assets kisiasa, Chadema turned these assets into liabilities. Kama hawakutendewa haki, kiukweli kabisa, karma itaitafuna Chadema!.
Karibu mitaa hii
A Kangaroo Court Moja, Kutoa Hukumu Kikangaroo, Kisha Kikao cha Rufaa, Kikiyabariki Maamuzi yale ya Kikangaroo. Je, nacho ni A Kangaroo?,
Japo dhulma za aina hii, haziwezi kupata suluhisho la kisheria mahakamani ni kuongeza tuu siku ili kuendelea kuvuta posho, haki ya kweli, inapatikana kupitia karma!. Tena kuna karma zisizo za lazima kabisa kwa Chadema kama chama, na kwa individual players!.
P.