Mdee na wenzako 18 nendeni mkaipate haki yenu Mahakamani

Hakuna mwanasiasa anaeweza ishi nje ya mshahara. Watasaga tu rhumba
 

Hawaweza kushinda kwasababu itabidi waeleze barua ya kuwapeleka bungeni nani aliweka signature kama Mnyika anasema hata form hajajaza. Yaani kwa ufupi wanaweza kujitafutia kesi wenyewe
 
Unatumia nini kufikiri?
Labda nikukumbushe tu....

Walimfukuza zito ,sababu ya kua anatoa siri za ndani za chama na imeoneka anauswahiba na kikwete.

Leo mbowe katoka lumande amekutana na samia mala kalibu 3,na hii ya sasa amesema wameongea kalibu saa2 kwenye kikao hicho siku chache kabla ya balaza kuu kuu la chama kukutana.
Lakini tunaona hata mikakati aliyokuja nayo kwenye balaza sio chanya.
Kuna ukakasi mwingi.
Je wemeongea nini kwenye kikao kile yeye na rais kwa mwendo wa saa2.
Na tumeona anawaonya na kuwatisha vb iongozi wake jinsi ya kukosoa yanayoendelea kwenye serkali.
Sasa wewe unaefikili vizuri niambie,,
Siokwamba mwenyekiti huyu sasa analeta uswahiba na rais kama alivyokua zito na kikwete?

Muwe waangalifu chama kitawadodea,kama mwenyekiti kila siku anaitwa ikulu pekeake.
 
Waombe radhi kwa nani?

Mchakato wote ulikuwa wa kihuni inabidi mchakato uanze upya kuwasikiliza kuanzia kamati kuu.
Memory card Yako ndani ya ubongo wako huenda imejaa au imeingiliwa na virus! Nikukumbushe hapa kuwa, kwenye like kikao Cha kwanza kilichofanyika bahari beach waliitwa zaidi ya mara mbili lakini wakapuuzia wito Ile na kikao kilifanya maamuzi na kuacha room ya wao kukata rufaa ambayo walikata na jana rufaa zao zimetolewa maamuzi na kukazia hukumu ya awali!
Kama waliitwa zaidi ya mara mbili na wakapuuzia, huo mchakato mwingine haupo kikanuni. Wamevuna walichopanda na hata wakienda mahakamani chama kitatoa ushahidi wa barua mbili za wito ambazo walizipuuza wakimtegemea ndugai na magufuli kuwalinda! Watulize na watafute biashara nyingine ya kufanya kwani ya ubunge imebuma!
 
Kama nyinyi CCM, mnawaona hao kina Mdee ni wanawake wa shoka, kwanini msiwachukue nyinyi CCM Ili wawasaidie Katika mapambano?😁
 
kura zimepigwa mbele yao,hakuna mjumbe anayelalamikia maamuzi. Ajabu CCM ndio mnaumia.
Pia unaonekana una shida kichwani,unabwata tu bila hoja. Mara Sabaya, mara haki.
Swali: Eleza jinsi gani kura hazikuwa huru na haki,ikiwa zimepigwa mbele yao
Punguani huyo Teh!
 
Duh! Umeishia darasa la ngapi?

Hata kuandika tu Kiswahili ni matatizo!! Bila shaka hesabu itakuwa ni zero kabisa. Reasoning ni zero. Wewe ni misfit kwenye jukwaa hili. Tafuta majukwaa mengine, hapa ni maalum kwaajili ya wenye uelewa angalao wa kiwango cha chini, ambao wewe hujaufikia.
 
Weka hoja yako mkuu....
 
Hivi akili yako kubwa anae takiwa kwenda mahakamani ni kina Halima au Chadema na wananchi ndio tuna takiwa kuwashtaki kina Covid 19 kwa kugushi saini za watu na kuhujumu uchumi kwa kuliibia Tqifa?
 

Huko bungeni wala hakuna anayewezuia kuingia maana walikuwa humo humo, lakini sio wanachama wa cdm tena. Kwahiyo waende mahakamani wasiende hilo watajua wao. Imeisha hiyo.
 
Unauma na kupuliza sio??
 
Hao wataendelea kuwa wabunge wa Chadema, wakienda mahakamani wanashinda mchana kweupe sababu utaratibu wa kuwafukuza ulikuwa wa kihuni haukufata katiba.
Hebu tuambie ni utaratibu upi haukufuatwa bibie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…