Mdee na wenzako 18 nendeni mkaipate haki yenu Mahakamani

Hao haki yao ilikuwa kwa magufuli na ndugai tu
 
UNGEWASHAULI wamshtaki aliowafundisha UHUNI wa KUGUSHI sahihi ya Katibu Mkuu

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Naona Pasco mtetezi wa Covid 19 ameibuka kwa kasi ya ajabu, maana njaa............

Kama Pasco anaona wale malaya wa kisiasa wanamfaa basi wachukue au wapeleke kwenye chama chochote unachoona kitawafaa, lakini CHADEMA ilishawatimua wale malaya tangu mwaka juzi.
 
Paskal amezeeka vibaya sana..
Sijui kule bungeni walimfanya nini!
 
We MÀTAGA,
Hawawezi kwenda mahakamani,mmlaka iliyowapeleka Bungeni haipo,vinginevyo itabidi Ndugai,Mahera na kaijage wakasimame mahakamani,kuonyesha Dispatch ya fomu ya majina ya kina mdee yalivyopokelewa.

Wameshaenda leo kwa taarifa zilizonifikia mezani pangu usiku huu! Nadhani tutege masikio kesho kwenye vyombo vya habari!
 
Umuulize ZZK aliishia wapi na mahakama .... hao covid-19 siyo wanachadema tena ... period ... mahakama haiwezi kuwarudishia uanachama

Kesi itaunguruma taratibu hadi miezi ya Julsi 2025, na baada ya hapo bunge litavunjwa na wao watakuwa wanetumikia ubunge kwa miaka mitano!
 
Wanawake wa shoka kwani lazima wawe wanachama wa Chadema? Wanaweza kuomba kwenda kwenye vyama vingine kama ACT,CCM, CHAUMA,TLP,NCCR MAGEUZI. They have many options!
 
Mahakamani wanaenda Kama kina Nani? Maana kwa Sasa sio wanachama wa chadema
 
Hao wataendelea kuwa wabunge wa Chadema, wakienda mahakamani wanashinda mchana kweupe sababu utaratibu wa kuwafukuza ulikuwa wa kihuni haukufata katiba.

Kwanini wanalazimisha kuwa wabunge wa Chadema?. Kuna ACT na CUF waende uko. Kazi kulamisha Mambo baadala ya kwenda kwingine wanataka waivuruge chadema.
 
Kesi itaunguruma taratibu hadi miezi ya Julsi 2025, na baada ya hapo bunge litavunjwa na wao watakuwa wanetumikia ubunge kwa miaka mitano!
Kwahiyo wakitumikia ubunge miaka 5 ndiyo watarudishiwa uanachama wa chadema ... nyie mnafikiria ulafi wa ubunge ... walichofanya CDM ni kuwafuta uanachama ... hayo ya ubunge mtajua nyie na ccm isiyofuata katiba na sheria za nchi
 
Wakishafutwa toka mwakajuzi, wao sasa wanaendelea na majukumu ya kuwatumikia wananchi hadi 2025
 
Kwahiyo wakitumikia ubunge miaka 5 ndiyo watarudishiwa uanachama wa chadema ... nyie mnafikiria ulafi wa ubunge ... walichofanya CDM ni kuwafuta uanachama ... hayo ya ubunge mtajua nyie na ccm isiyofuata katiba na sheria za nchi

Watahamia vyama vingine, ndiyo raha ya kuwa na vyama vingi.
 
Shauri la kina Mdee laanza kusikilizwa mahakama kuu

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam hivi sasa inaendelea kusikiliza maombi ya wabunge 19 wa viti maalum ambao walikuwa wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na baadaye kufukuzwa uanachama.

Wabunge hao walipeleka maombi yao Makahama Kuu kupinga kufukuzwa uanachama na chama hicho.

Shauri hilo la wabunge 19 waliokuwa wanachama wa CHADEMA linasikilizwa na Jaji John Mgeta.

Mapema hii leo, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DKt.Tulia Ackson aliliambia bunge kuwa kwa sasa hawezi kutamka kuwa viti 19 vya wabunge hao vipo wazi, kwa kuwa suala hilo lipo mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…