Mdee: Sina hizo bilioni 10 nilikuwa nafikisha ujumbe tu kwa Serikali

Vijana wengi humu ni vi.laza sana! Waling'ang'ania eti Halima Mdee anazo bilioni 10!

Hawajui kabisa maana ya bilioni 10, ! Eti wanajumlisha laki 5 wanazochangiana kina Halima Mdee na wenzake ( 18) eti wamekusanya bilioni 10!

Ni hivi mtu anayepata Laki 5 kwa mwezi bila kuitumia anahitaji miaka 167 kuweza kufikisha bilioni 1.

Halima Mdee au Ester Bulaya wangekuwa hata na bilioni 1 acha 10 wasingekomalia ubunge wa viti maalumu!

Kuna Wabunge hadi leo wanadaiwa na mawakala waliowasimamia majimboni kwani baada ya kubwagwa wakakimbia !
Hivi mkuu, hiyo laki 5 5 wanacheza kibati, au wanaweka ya nini?
 
Hoja ya mbunge wa viti Maalumu Halima Mdee kuhusu Sh10 bilioni imeendelea kutikisa katika mitandao ya kijamii wengi wakihoji alipata wapi kiasi hicho.

Hata hivyo jana Mdee alizungumzia jambo hilo na kukanusha kuwa hana kiasi hicho kwenye akaunti yake bali amesema kwa maana ya kufikisha ujumbe kwa Serikali.

“Ni kweli nilisema, lakini kwa namna nyingine watu wasingenielewa bali nilikuwa natumia njia hiyo kufikisha ujumbe kwa Serikali, hivi katika usawa huu mtu uwe na kiasi hicho si mambo yatakuwa mazuri sana, ule ulikuwa utani,” alisema Mdee akiwa nje ya ukumbi wa bunge.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Yule muhaya aliyesema pesa ya chai aje sasa hapa billion 10 mchezo nn
 
Hii nayo si sarakasi ya aina fulani jamani?
Kuna mtu alileta picha ya bunge kutoka kwa mchora viukaragosi maarufu iliyonichekeasha sana. Ngoja niitafute nitaiunganisha tena hapa.

Haya nimepitapa picha hiyo; ni hii hapa; inachekesha sana lakini ina ujumbe mzito kuhusu bunge letu

1653693747915.png
 
Wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA wanaleta utani Bungeni!
 
Ukielwa msemo kwamba wanawake uchumi wameukalia, huwezi kumshangaa kuwa na 10 bil.....mnaweza kutokea wote nyumba ya nyasi baada ya mwaka ukamkuta anasukuma viiieite wewe ukiendelea na sterling kiuno, hapo napo utashangaa?
Kuna picha moja ilimuonesha H akiwa mzuri kinoma nikamtamani nikasema huyu demu aisee Yesu na Maria si wanipe tu ila najua sikumuona mzuri peke yangu ila hata mazee ya kitengo ya sisiem na Makengeza pia atakuwa ameona H pisi kali !

ila nikajiuliza Halima si anakunywa pombe kali yule au? vipi ile sauti kama ya konyagi au? baadae nikasema itakuwa nimependa pesa zake za ubunge si yeye!!

Huyu binti wa mjini asitufanye wajinga atuambie hizo 10B vepe!! hakuna utani hapa anazo mrembo Halima manake ubunge wenyewe wa mchongo walipewa tu na Mwendazake kuiaminisha dunia kuwa bungeni kuna upinzani kumbe wazungu wameliwa! !
 
Hoja ya mbunge wa viti Maalumu Halima Mdee kuhusu Sh10 bilioni imeendelea kutikisa katika mitandao ya kijamii wengi wakihoji alipata wapi kiasi hicho.

Hata hivyo jana Mdee alizungumzia jambo hilo na kukanusha kuwa hana kiasi hicho kwenye akaunti yake bali amesema kwa maana ya kufikisha ujumbe kwa Serikali.

“Ni kweli nilisema, lakini kwa namna nyingine watu wasingenielewa bali nilikuwa natumia njia hiyo kufikisha ujumbe kwa Serikali, hivi katika usawa huu mtu uwe na kiasi hicho si mambo yatakuwa mazuri sana, ule ulikuwa utani,” alisema Mdee akiwa nje ya ukumbi wa bunge.
Quinine with all due respect Halima hana hadhi ya kuitwa mbunge[emoji1545]
 
Vijana wengi humu ni vi.laza sana! Waling'ang'ania eti Halima Mdee anazo bilioni 10!

Hawajui kabisa maana ya bilioni 10, ! Eti wanajumlisha laki 5 wanazochangiana kina Halima Mdee na wenzake ( 18) eti wamekusanya bilioni 10!

Ni hivi mtu anayepata Laki 5 kwa mwezi bila kuitumia anahitaji miaka 167 kuweza kufikisha bilioni 1.

Halima Mdee au Ester Bulaya wangekuwa hata na bilioni 1 acha 10 wasingekomalia ubunge wa viti maalumu!

Kuna Wabunge hadi leo wanadaiwa na mawakala waliowasimamia majimboni kwani baada ya kubwagwa wakakimbia !
Wewe leo ndiyo kumtemtea Halima😅😅
 
Kuna jamaa humu alikuwa anadai ety 10bn sio hela kubwa.....yaani wanajf kwa sifa!!!!
 
Back
Top Bottom