Mdee: Sina hizo bilioni 10 nilikuwa nafikisha ujumbe tu kwa Serikali

Mdee: Sina hizo bilioni 10 nilikuwa nafikisha ujumbe tu kwa Serikali

Mambo mengine tuwe tunayapotezea tu jamani,tabia zetu watanzania zinaakisi tabia za kijamaa ambazo tulirithi kutoka awamu ya kwanza na hii ipo kwenyw damu haitoki,ninachomaanisha ni kwamba hizi tabia za nongwa nongwa kwa walionazo ni tabia ambazo zinatokana na sera ya ujamaa kwamba kumiliki ukwasi ni evil either kwa wanasiasa,watumishi or anyone else!!!..Nchi za watu wanaojielewa huwezi kukuta mijadala kama hii hasa kwenye kipindi hiki ambacho Capitalism imeota mizizi mirefu sana
Watanzania hatukatai Mtu kua tajiri, lakini angalia utajiri wako usitokane na kudhulumu Mali za Umma,au Watu binafsi, tafuteni utajiri wa halali! Japokua kwa Africa ni ngumu sana kutajirika ki halali, Matajiri wengi lazima waibe au wadhulumu wengine ndiyo watajirike!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Watanzania hatukatai Mtu kua tajiri, lakini angalia utajiri wako usitokane na kudhulumu Mali za Umma,au Watu binafsi, tafuteni utajiri wa halali! Japokua kwa Africa ni ngumu sana kutajirika ki halali, Matajiri wengi lazima waibe au wadhulumu wengine ndiyo watajirike!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Umegonga msumari kwenye kidonda !! Ongezea na ukwepaji wa Kodi !!
 
Kwa iyo Bunge ni sehemu ya mizaha isiyo na tija?
 
Hoja ya mbunge wa viti Maalumu Halima Mdee kuhusu Sh10 bilioni imeendelea kutikisa katika mitandao ya kijamii wengi wakihoji alipata wapi kiasi hicho.

Hata hivyo jana Mdee alizungumzia jambo hilo na kukanusha kuwa hana kiasi hicho kwenye akaunti yake bali amesema kwa maana ya kufikisha ujumbe kwa Serikali.

“Ni kweli nilisema, lakini kwa namna nyingine watu wasingenielewa bali nilikuwa natumia njia hiyo kufikisha ujumbe kwa Serikali, hivi katika usawa huu mtu uwe na kiasi hicho si mambo yatakuwa mazuri sana, ule ulikuwa utani,” alisema Mdee akiwa nje ya ukumbi wa bunge.
Yaani analeta utani bungeni....!? Kuna kila dalili kuwa Spika wa safari hii haheshimiwi.
 
Kuna mtu alileta picha ya bunge kutoka kwa mchora viukaragosi maarufu iliyonichekeasha sana. Ngoja niitafute nitaiunganisha tena hapa.

Haya nimepitapa picha hiyo; ni hii hapa; inachekesha sana lakini ina ujumbe mzito kuhusu bunge letu

View attachment 2241679
Kuna siku nilimsikiliza Catherine Ruge anaelezea jinsi alivyokuwa disappoibted alivyoingia bungeni mara ya kwanza.

Yeye alitegemea bunge liwe sehemu ya kufanya kazi kwa umakini, lakini alichokikuta ni vijiwe ndanibya bunge, watu hawafuatikii mijadala, watu wanapiga stories zao, yani pretty much hicho kilichochorwa.
 
Back
Top Bottom