Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Hivi mkuu, hiyo laki 5 5 wanacheza kibati, au wanaweka ya nini?Vijana wengi humu ni vi.laza sana! Waling'ang'ania eti Halima Mdee anazo bilioni 10!
Hawajui kabisa maana ya bilioni 10, ! Eti wanajumlisha laki 5 wanazochangiana kina Halima Mdee na wenzake ( 18) eti wamekusanya bilioni 10!
Ni hivi mtu anayepata Laki 5 kwa mwezi bila kuitumia anahitaji miaka 167 kuweza kufikisha bilioni 1.
Halima Mdee au Ester Bulaya wangekuwa hata na bilioni 1 acha 10 wasingekomalia ubunge wa viti maalumu!
Kuna Wabunge hadi leo wanadaiwa na mawakala waliowasimamia majimboni kwani baada ya kubwagwa wakakimbia !
Za kusukuma kesi yao ili wabaki bungeniHivi mkuu, hiyo laki 5 5 wanacheza kibati, au wanaweka ya nini?
[emoji38][emoji38][emoji38]Hoja ya mbunge wa viti Maalumu Halima Mdee kuhusu Sh10 bilioni imeendelea kutikisa katika mitandao ya kijamii wengi wakihoji alipata wapi kiasi hicho.
Hata hivyo jana Mdee alizungumzia jambo hilo na kukanusha kuwa hana kiasi hicho kwenye akaunti yake bali amesema kwa maana ya kufikisha ujumbe kwa Serikali.
“Ni kweli nilisema, lakini kwa namna nyingine watu wasingenielewa bali nilikuwa natumia njia hiyo kufikisha ujumbe kwa Serikali, hivi katika usawa huu mtu uwe na kiasi hicho si mambo yatakuwa mazuri sana, ule ulikuwa utani,” alisema Mdee akiwa nje ya ukumbi wa bunge.
Mbona Dr.Mo hayuko bungeniRostam na pesa zake zote alizonazo Alitoa mchozi 2011 alipotangaza kujiuzulu Ubunge
kule kuna connection ya kila kitu kasoro kuingia peponi
Kuna mtu alileta picha ya bunge kutoka kwa mchora viukaragosi maarufu iliyonichekeasha sana. Ngoja niitafute nitaiunganisha tena hapa.Hii nayo si sarakasi ya aina fulani jamani?
Mmhh. Laba kama alimpa ×××aAlivuta B10 toka kwa jiwe,anazo
kodi zetu hazina thamani, zinatumika kufanya utani kina Mdee, kubinuka samasoti, nkKwahiyo analeta utani bungeni? Yaani anatumia kodi zetu kufanya utani bungeni?
Kuna picha moja ilimuonesha H akiwa mzuri kinoma nikamtamani nikasema huyu demu aisee Yesu na Maria si wanipe tu ila najua sikumuona mzuri peke yangu ila hata mazee ya kitengo ya sisiem na Makengeza pia atakuwa ameona H pisi kali !Ukielwa msemo kwamba wanawake uchumi wameukalia, huwezi kumshangaa kuwa na 10 bil.....mnaweza kutokea wote nyumba ya nyasi baada ya mwaka ukamkuta anasukuma viiieite wewe ukiendelea na sterling kiuno, hapo napo utashangaa?
Quinine with all due respect Halima hana hadhi ya kuitwa mbunge[emoji1545]Hoja ya mbunge wa viti Maalumu Halima Mdee kuhusu Sh10 bilioni imeendelea kutikisa katika mitandao ya kijamii wengi wakihoji alipata wapi kiasi hicho.
Hata hivyo jana Mdee alizungumzia jambo hilo na kukanusha kuwa hana kiasi hicho kwenye akaunti yake bali amesema kwa maana ya kufikisha ujumbe kwa Serikali.
“Ni kweli nilisema, lakini kwa namna nyingine watu wasingenielewa bali nilikuwa natumia njia hiyo kufikisha ujumbe kwa Serikali, hivi katika usawa huu mtu uwe na kiasi hicho si mambo yatakuwa mazuri sana, ule ulikuwa utani,” alisema Mdee akiwa nje ya ukumbi wa bunge.
Wewe leo ndiyo kumtemtea Halima😅😅Vijana wengi humu ni vi.laza sana! Waling'ang'ania eti Halima Mdee anazo bilioni 10!
Hawajui kabisa maana ya bilioni 10, ! Eti wanajumlisha laki 5 wanazochangiana kina Halima Mdee na wenzake ( 18) eti wamekusanya bilioni 10!
Ni hivi mtu anayepata Laki 5 kwa mwezi bila kuitumia anahitaji miaka 167 kuweza kufikisha bilioni 1.
Halima Mdee au Ester Bulaya wangekuwa hata na bilioni 1 acha 10 wasingekomalia ubunge wa viti maalumu!
Kuna Wabunge hadi leo wanadaiwa na mawakala waliowasimamia majimboni kwani baada ya kubwagwa wakakimbia !
Kuna jamaa humu alikuwa anadai ety 10bn sio hela kubwa.....yaani wanajf kwa sifa!!!!Vijana wengi humu ni vi.laza sana! Waling'ang'ania eti Halima Mdee anazo bilioni 10!
Hawajui kabisa maana ya bilioni 10, ! Eti wanajumlisha laki 5 wanazochangiana kina Halima Mdee na wenzake ( 18) eti wamekusanya bilioni 10!
Ni hivi mtu anayepata Laki 5 kwa mwezi bila kuitumia anahitaji miaka 167 kuweza kufikisha bilioni 1.
Halima Mdee au Ester Bulaya wangekuwa hata na bilioni 1 acha 10 wasingekomalia ubunge wa viti maalumu!
Kuna Wabunge hadi leo wanadaiwa na mawakala waliowasimamia majimboni kwani baada ya kubwagwa wakakimbia !
Kwake Mzee Halima ni Kalio.B10 unadhani ni kalio kila mtu anaweza kupata