Mdee: Sina hizo bilioni 10 nilikuwa nafikisha ujumbe tu kwa Serikali

Watanzania hatukatai Mtu kua tajiri, lakini angalia utajiri wako usitokane na kudhulumu Mali za Umma,au Watu binafsi, tafuteni utajiri wa halali! Japokua kwa Africa ni ngumu sana kutajirika ki halali, Matajiri wengi lazima waibe au wadhulumu wengine ndiyo watajirike!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Umegonga msumari kwenye kidonda !! Ongezea na ukwepaji wa Kodi !!
 
Kwa iyo Bunge ni sehemu ya mizaha isiyo na tija?
 
Yaani analeta utani bungeni....!? Kuna kila dalili kuwa Spika wa safari hii haheshimiwi.
 
Kuna siku nilimsikiliza Catherine Ruge anaelezea jinsi alivyokuwa disappoibted alivyoingia bungeni mara ya kwanza.

Yeye alitegemea bunge liwe sehemu ya kufanya kazi kwa umakini, lakini alichokikuta ni vijiwe ndanibya bunge, watu hawafuatikii mijadala, watu wanapiga stories zao, yani pretty much hicho kilichochorwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…