GentleGiant
JF-Expert Member
- Sep 22, 2021
- 585
- 546
Mi sio msabato i am just a regular Christian who is a firm believer of Christ and i believe in Authority of The Bible as the Word of God.I refuse to listen anything which goes against The Bible.Wasabato masalia kazini
There are specifics katika Prophesies,kama hujazijua take your time and learn lakini usi-generalize kwa kutokujua kwako.Mwisho wa Dunia hakuna ajuae, hayo yote yaliyoandikwa kila kizazi kinasema yameshatimia! Kila karne kulikuwa na vita, upendo kupungua, magonjwa yasiyo na tiba, technology isiyo kifani nk na bado ule mwisho haujatimia wewe unaishangaa hiyo micro chip wakati imeanza zaidi ya karne nyuma?
In short mwisho wa Dunia is the day your life ends nothing else.
kwahiyo watu wasifanye ugunduzi sababu kuna kufa heee.We are complicating life as We'll never die. Every soul shall taste death. Ishi kwa upendo, amani, tenda haki daima maisha yako yatakuwa ya furaha na wala hautawaza RAPTURE.
Bible ain't the word of God..Mi sio msabato i am just a regular Christian who is a firm believer of Christ and i believe in Authority of The Bible as the Word of God.I refuse to listen anything which goes against The Bible.
There are people who say Blue is not a color. You can't stop people thinking the way they want but that doesn't change the fact that Blue is a color.The same goes to Bible.Bible ain't the word of God..
Hakuna ajuaye siku wala saa.Actually mambo yote yaliyotabiriwa kabla ya RAPTURE yameshatokea for that matter RAPTURE is anytime most likely in less than five years from now.
Paul wrote alot of books in the Bible,Paul is not the messenger of God,he didn't even see jesus..and a number of books in the Bible are not written by prophetsThere are people who say Blue is not a color. You can't stop people thinking the way they want but that doesn't change the fact that Blue is a color.The same goes to Bible.
Miaka 1000 iliyopita Waisrael walikuwa wamekwisha rudi kwenye ardhi waliyopewa baba zao? Did you know that Israel wametambulika tena kama taifa mwaka 1948(If iam not mistaken) hii ni moja ya prophecy ambazo zimetimia miaka kati ya miaka 80 tu iliyopita. Zipo nyingi ambazo ni very specific you just have to study your Bible with keen EYE.Hakuna ajuaye siku wala saa.
Almost miaka 1000 iliyopita kila kitu kilishatokea
Yesu alisema roho ya Mpinga Kristo ilianza kufanyakazi hata kabla ya last supper
Hakuna mtu aliyezikwa na pesa zakeTuendelee kutafuta pesa, biblia isikufanye ufe masikini uteseke duniani na mbinguni
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
I think you have your Version of Paul in your head. According to you Who is the messenger of God? Paul met the Glorified Jesus.On his way to Damascus he met Jesus.Go and read Acts of the Apostles.Paul wrote alot of books in the Bible,Paul is not the messenger of God,he didn't even see jesus..and a number of books in the Bible are not written by prophets
He met Jesus or voice of Jesus and...light!!..after crusification...for word to be word of God should come come from messenger of God,since God don't do p.a,of about 10 of Paul's books were written in 50-60 AD,4 decades since crusification(if am right on spellings)I think you have your Version of Paul in your head. According to you Who is the messenger of God? Paul met the Glorified Jesus.On his way to Damascus he met Jesus.Go and read Acts of the Apostles.
Who said in order for a book to be called a Word of God it must be written by Prophets?
If this is the reason for you to discredit The Bible think again.
Nahisi labda hujanielewa. Discoveries and innovations zote ni kwaajili ya kurahisisha maisha za binadamu. Wanapolinganisha gunduzi na mwisho wa dunia ni kujenga hofu ambayo ni chanzo cha uharibifu. Sasa ili uweze kuishinda hiyo hofu ni kuishi kwa UPENDO, AMANI, WEMA NA FURAHAkwahiyo watu wasifanye ugunduzi sababu kuna kufa heee.
What difference does it make if he met Jesus or his voice? Faith comes from HEARING not seeing nor touching if thats what concerns you.He met Jesus or voice of Jesus and...light!!..after crusification...for word to be word of God should come come from messenger of God,since God don't do p.a,of about 10 of Paul's books were written in 50-60 AD,4 decades since crusification(if am right on spellings)
In addition Jesus died on 33 AD and Paul Started his first missionary journey on 40s AD approximately less than 10 years from Jesus Cruxification and Ressurection.He met Jesus or voice of Jesus and...light!!..after crusification...for word to be word of God should come come from messenger of God,since God don't do p.a,of about 10 of Paul's books were written in 50-60 AD,4 decades since crusification(if am right on spellings)
Wewe wasema.... Hii mbinu ya kipumbavu kabisa..Kama huna uwezo wa kujibizana kwa hoja kaa kimyaWewe mwenye akili nyingi
Nione ili iweje...?? Hujui kuwa hata neno la mungu linakuambia usisumbukie ya kesho...?? Hakuna aijua kesho...uliwahi kuona kwamba wiki lijalo utapata ajali?
Hakuna kitu kama hicho na wala hakikaa kutokea...mno mno madai yako haya tunayaweka kwenye tabiri tuu....Uliwahi kujua kwamba baada ya siku kadhaa kitu fulani kitakuwa na vikawa?
Unahsangaa mimi kuwaita watu wenye mitizamo kama ya mtoa mada duni...??? Ni kweli wana akili duni.. Ukataka kufahamu hayo fanya uchunguzi ukitaka kujua chupi anayovaa bahkresa basi nenda kwenye vijiwe vya kawahawa na porojo.. Mama ukitaka kujua stori za freemason nenda huko niilikokuambia...Hao unaowaita watu duni
Leta ushahidi hapa waliyasema lini..?? Nini walikisema??? Nani aliyasema hayo..?? Aliyasemea wapi..?? Nini hicho kilichotokea leo...?waliyasema hayo miaka 2,000 iliyopita leo yanatokea
Madhara ya kitu gani...? Halafu anayeabudu shetani anakuaje..??Walieleza na madhara yake lakini mipumbavu miabudu mishetani kama wewe
Kwa hitimisho ulilolitoa inatosha kuandika kitabu wewe ni mtu wa aina gani...pyuuuuuuuuuuuuuuuuut.
Kwa hiyo kaka your Point ni kwamba hakuna kilichowahi kutabiriwa kikatokea au sio?Wewe wasema.... Hii mbinu ya kipumbavu kabisa..Kama huna uwezo wa kujibizana kwa hoja kaa kimya
Nione ili iweje...?? Hujui kuwa hata neno la mungu linakuambia usisumbukie ya kesho...?? Hakuna aijua kesho...
Hakuna kitu kama hicho na wala hakikaa kutokea...mno mno madai yako haya tunayaweka kwenye tabiri tuu....
Unahsangaa mimi kuwaita watu wenye mitizamo kama ya mtoa mada duni...??? Ni kweli wana akili duni.. Ukataka kufahamu hayo fanya uchunguzi ukitaka kujua chupi anayovaa bahkresa basi nenda kwenye vijiwe vya kawahawa na porojo.. Mama ukitaka kujua stori za freemason nenda huko niilikokuambia...
Leta ushahidi hapa waliyasema lini..?? Nini walikisema??? Nani aliyasema hayo..?? Aliyasemea wapi..?? Nini hicho kilichotokea leo...?
Madhara ya kitu gani...? Halafu anayeabudu shetani anakuaje..??
Kwa hitimisho ulilolitoa inatosha kuandika kitabu wewe ni mtu wa aina gani...
Ahsanta
Kunywa maji halafu relax,twende taratibu wapi kwenye biblia walitabiri utawekewa chip?Wewe mwenye akili nyingi, uliwahi kuona kwamba wiki lijalo utapata ajali? Uliwahi kuona kwamba siku mbili zijazo utafukuzwa kazi? Uliwahi kujua kwamba baada ya siku kadhaa kitu fulani kitakuwa na vikawa?
Hao unaowaita watu duni, waliyasema hayo miaka 2,000 iliyopita leo yanatokea. Walieleza na madhara yake lakini mipumbavu miabudu mishetani kama wewe, inajidai inaakili hata haijui nini kinafanyika, na hata ikisoma madhara yake haielewi.
Wewe lifyoto, uwe unafikiri kabla ya kutapanya uharo. pyuuuuuuuuuuuuuuuuut.
What makes you believe it was Jesus voice!?What difference does it make if he met Jesus or his voice? Faith comes from HEARING not seeing nor touching if thats what concerns you.
My question still who said for the book to be a word of God it must be written by a prophet?
Are you a Muslim?
Beacause The Bible says it was Jesus.What makes you believe it was Jesus voice!
Paul was a resident of Jerusalem,being in on the same town or whatever doesn't guarantee that Paul new or saw or heard jesus messageIn addition Jesus died on 33 AD and Paul Started his first missionary journey on 40s AD approximately less than 10 years from Jesus Cruxification and Ressurection.
Paul was there when Jesus was preaching around the Streets of Nazarete and Judah. Hakuwa follower wa Jesus but he knew his message.