JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Hiyo ni imani yako na tunaiheshimu ila jambo la muhimu ni kuwa binadamu mwema na kutii sheria tulizojiwekea kama nchi bila kujali ule moto unaouamini unakuja.......I am Christian,follower of Jesus Christ.I believe everything The Bible say and I believe Jesus is the only way to The Father.
If anyone had a chance of hearing the gospel and rejected Jesus for him/her there will be no excuse.
Sasa hivi tumehama kwenye kitambulisho cha picha tu na tuna kitambulisho kwa alama za vidole na umetii, zote hizi ni chapa ya utambuzi, kadri teknolojia inavyokua ndivyo teknolojia ya utambulisho inavyobadilika na kukua.
Tulianza na makaratasi tu, tukaja kadi, tukaamia alama za vidole na kadi na itafika kipindi teknolojia italeta mfumo mpya, ukileta ulokole na kuvunja sheria ulokole hautakuokoa na mikono ya sheria.